Naomba tiba ya tatizo la kinywa

nyahinga

Member
Dec 18, 2016
45
23
naomba tiba ya tatizo la kinywa yaani nina miaka mingi sasa nasumbuka na kuumwa koo linawaka na ulimi unakuwa na alama za michilizi. Mwenye dawa anisaidie
 
naomba tiba ya tatizo la kinywa yaani nina miaka mingi sasa nasumbuka na kuumwa koo linawaka na ulimi unakuwa na alama za michilizi. Mwenye dawa anisaidie
Mkuu pole sana unayo maradhi ya koo na na ulimi kuwa na alama za michirizi ni dalili ya upungufu waMadini na Vitamin mwilini mwako. Kama umetumia Dawa za hospitali hujapona kuna dawa za asili ukitumia utaweza kupona maradhi yako uguwa pole.
 
Mkuu pole sana unayo maradhi ya koo na na ulimi kuw ana alama za michirizi ni dalili ya upungufu waMadini na Vitamin mwilini mwako. Kama umetumia Dawa za hospitali hujapona kuna dawa za asili ukitumia utaweza kupona maradhi yako uguwa pole.
Nashauri tembelea clinic ya kinywa Na meno Kwa uchunguzi
 
Back
Top Bottom