Naomba Tafsiri ya wimbo 'Muzina' ulioimbwa na Tabu Ley | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Tafsiri ya wimbo 'Muzina' ulioimbwa na Tabu Ley

Discussion in 'Entertainment' started by Mu-Israeli, Jul 31, 2012.

 1. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #1
  Jul 31, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Hi wana JF.
  Naomba mtu yeyote mwenye tafsiri ya wimbo "muzina' ulioimbwa na Tabu Ley wa Congo (DRC).
  Tafsiri hiyo inaweza kuwa kwenye form ya lyrics, etc.

  Thanks in advance.
   
 2. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mtu hawi na tafsiri. Mtu akutafsirie!!!

  Kwa kifupi huo wimbo ni sala!
  kwa jina la baba na mwana na roho mtakatifu.
   
Loading...