Naomba tafsiri ya wimbo 'kijiti' wa marehemu Bi kidude

Diksela

JF-Expert Member
Nov 6, 2014
212
206
Wakuu wanaofahamu naomba kufahamishwa tafsiri ya wimbo KIJITI wa Marehemu Bi kidude. Baadhi ya maneno ni
"Tazameni tazameni alivyofanya kijiti, kumchukua mgeni kumchezesha foliti, kenda nae maguguni kamrejesha maiti"
 
Nyimbo iyo aliitunga kutokana na tukio lililotokea.. Kuna mtalii alifanyiwa mbaya na kuuwawa, nafkiri aliemuuwa alikuwa ni mzawa

Kwahiyo kijiti inamuwakilisha mtu
 
Back
Top Bottom