Naomba tafsiri ya sentensi, 'Baba mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwenye familia?' kwenda lugha ya Kiingereza

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Kaniuliza anawezaje kusema sentensi hii kwa kiingereza?

"Baba, mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwenye familia?"

Msaada Tafadhali.
 
IMG_5344.JPG
 
"Father, What number in the sequence of your birth am i fit"

"Father, Where do i fit in the family"

"Where am I in the birth order of my family?"

Ukiuliza hivi. Kati ya hizi sentence 3 hapo juu a native English speaker atalewa kabisa ulichouliza
 
Sio kila kitu kinatafsirika moja kwa moja katika lugha moja kwenda nyingine, lugha ni utamaduni wa jamii husika, ndiyo maana sisi husema mama mdogo/ mkubwa au shangazi tunatofautisha, tamaduni nyingine za Kimagharibi hkn tofauti wote ni aunt, sisi tunapiga vigelegele Wachina au Wahindi hawajui wala siajabu hawana neno lake

Hivyo usiumize kichwa, isitoshe ni swali lisilo na mantiki, kwani kila mtoto anajua yeye ni wangapi kuzaliwa.
 
Back
Top Bottom