Naomba tafsiri ya picha hii

Kongwamaji

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
560
145
9e6460aac65d20912a780fbc1f2fb625.jpg
 


EL.......Jamani mbona mnatufanyia hivi? Hivi kweli hii ni sawa kutunyima hata vikao vya ndani???

AK......Sikiliza EL hizi ni Enzi nyingine kabisa waambie na wale vijana wasithubutu kuandamana, mimi nakuonya kama rafiki, mambo ni magumu, waambie watii sheria, vinginevyo .....
 
Unasikia mkuu haya mambo ni mazito ndio maana hata wanajeshi tumewaomba wafanye maazimisho Yao siku hiyo...lolote linaweza kutokea...Kuwa makini...
 
Back
Top Bottom