Naomba tafsiri ya 'Open Day' kwa Kiswahili

Siku ya ufunguzi,siku ya maonyesho,

Siku ambayo watu huruhusiwa kuingia na kukagua au kuangalia jambo ambalo hua sio rahisi kuruhusiwa katika siku za kawaida,

Wataalamu watakuja kutoa ufafanuzi zaidi.
 
Back
Top Bottom