Naomba tafsiri ya neno trauma kwa lugha za watu wa kilimanjaro (pare na chaga)

storyteller

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
1,436
2,000
Katika kamusi ya tuki, neno "trauma" limetafsiriwa kama 'kiwewe' kwa haraka haraka nikaoanisha na maneno kama 'mauza uza' ama 'mawenge'

Sasa wanajamvi naomba mnisaidie kutafsiri maneno hayo kwa lugha za kipare ama kichaga... au unaweza kunisaidia maneno yanayolandana na hayo.

Natafuta jina lenye asili hiyo kwa ajili ya hadithi yangu inayohusisha wapenzi walioingia katika msitu wenye miiko na kujikuta wanakabiliana na mambo ya ajabu na ili kujikwamua yawapasa kukiri na kuachana na tabia/mambo yaliyowatokea katika maisha yao la sivyo maisha yao yanakua ya kujirudia rudia ktk mtiririko ule ule.

Asante.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom