Naomba tafsiri ya neno Fantastic Aroma kwa Kiswahili

bievinii

JF-Expert Member
May 12, 2021
712
736
Naomba kuuliza hivi Hilo neno happy juu kwenye kichwa Cha habari Lina maana gani in Swahili?
 
Mh kwa tafsiri isiyo rasmi neno aroma ni ile harufu fulani ya kuvutia inayotoka kwenye kitu cha kuliwa mfano chakula chenye viungo,kinywaji au tunda.zaid ya hapo ngoja wengine wajuzi waje kutufafanulia
 
Naomba kuuliza hivi Hilo neno happy juu kwenye kichwa Cha habari Lina maana gani in Swahili?


Aroma ni harufu, na fantastic ni kitu kizuri kinachopendeza nk,

Hivyo maneno Fantastic aroma maana yake ni "Harufu nzuri sana"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom