Naomba tafsiri ya Mbunge "Aliyemaliza muda wake"

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
994
821
Kuna tafsiri zinatofautiana kwenye maneno "Mbunge Aliyemaliza muda wake."

Mfano halisi Mh Andrew Chenge, na Mh Christopher Chegeni ni baadhi tu ya Wabunge wanaoambiwa wamemaliza muda wao. Je kuna sheria inayoelezea kuhusu hilo?
 
"Waulize wajumbe" ila wakiwa hai wanaweza kujaribu huko mbeleni kama mbunge Lubeleje wa Mpwapwa
 
Sheria nyingine ni special for special by special people in special use. Mfano ni Lowassa kuitwa Waziri Mkuu Mstaafu au kama ilivowahi kutokea Mrema kuitwa Naibu Waziri Mkuu wa Tanzania.!
 
Kuna watu wanasema Makonda ni Mkuu wa mkoa mstaafu pia wengine wanasema ni mkuu wa mkoa aliyemaliza mda wake.
 
Hahaha Magufuli akikuchukia hata kama una miaka 30 unastaafishwa, ccm mpya hiyo.
 
Back
Top Bottom