Naomba tafsiri ya kisheria kwa maneno haya

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Wana JF ambao ni wanasheria naomba mnipe tafsiri ya kisheria maana nashindwa kuelewa, mfano sheria ya kazi ya mtu ikisema "
THE ASSISTANT DIRECTOR MAY, WHERE CIRCUMSTANCES REQUIRE AND WITHIN SPECIFIED TIME REQUEST THE EMPLOYEE TO SUBMIT TO HIM THE DEVELOPMENT REPORT.

Swali:

Je ni kwamba huyo assistant Director ni lazima au anaweza akahitaji kwa muda maalum utakao pangwa na yeye au ataachia tu kwamba muda wowote hata ipite miezi 12 kumuomba mtu mishi taarifa za maendeleo au naomba ufafanuzi zaidi
 
Hi ni lugha ambayo Waikato mwingine ni mandatory yaani ni lazima ingawa Neno ni persuasive.
 
Circumstances within a specific time zikijitokeza inakuwa ni lazima,vinginevyo ni kama ulivyosema
 
Wana JF ambao ni wanasheria naomba mnipe tafsiri ya kisheria maana nashindwa kuelewa, mfano sheria ya kazi ya mtu ikisema "
THE ASSISTANT DIRECTOR MAY, WHERE CIRCUMSTANCES REQUIRE AND WITHIN SPECIFIED TIME REQUEST THE EMPLOYEE TO SUBMIT TO HIM THE DEVELOPMENT REPORT.

Swali:

Je ni kwamba huyo assistant Director ni lazima au anaweza akahitaji kwa muda maalum utakao pangwa na yeye au ataachia tu kwamba muda wowote hata ipite miezi 12 kumuomba mtu mishi taarifa za maendeleo au naomba ufafanuzi zaidi
Kwenye sheria neno "MAY" ni optional lakini "SHALL" haina option
 
Wana JF ambao ni wanasheria naomba mnipe tafsiri ya kisheria maana nashindwa kuelewa, mfano sheria ya kazi ya mtu ikisema "
THE ASSISTANT DIRECTOR MAY, WHERE CIRCUMSTANCES REQUIRE AND WITHIN SPECIFIED TIME REQUEST THE EMPLOYEE TO SUBMIT TO HIM THE DEVELOPMENT REPORT.

Swali:

Je ni kwamba huyo assistant Director ni lazima au anaweza akahitaji kwa muda maalum utakao pangwa na yeye au ataachia tu kwamba muda wowote hata ipite miezi 12 kumuomba mtu mishi taarifa za maendeleo au naomba ufafanuzi zaidi
Maana yake atakapoihitaji hiyo report itolewe na asipoihitaji hiyo report si lazima umpatie lakini report lazima iwe tayari muda wote.
 
Yote ni sawa.Tofauti ni kwamba wewe umeangalia kwenye muda, lakini mimi nimeangalia kwenye Response
Hiyo optional ni kwamba upande mmoja unalazimika kutekeleza na upande mwingine haulazimiki kutekeleza. Yaani kwa mfano hiyo mada hapo juu ni kwamba employee analazimika kutayarisha report yaani ni lazima report itayarishwe....ila huyo Assistant Director anaweza kuiomba ama kutokuiomba....which means asipoiomba hatakuwa ametenda kosa.
 
Mfano soma Paragraph 7 of Income Tax (Transfer Pricing) Regulations 2014.
Inamlazimisha mlipa kodi kutengeneza Contemporeneous Documentation lakini Kamisha akiamua anaweza kukwambia uzipeleke ama la. Asipokuamuru uzipeleke huwezi kumshitaki kwamba amekuingiza gharama halafu hajakuamuru uzipeleke.
 
Back
Top Bottom