Naomba taarifa za mchekeshaji Vengu wa Orijino Komedi

Ofcourse atakuwa anaumwa maana akifa tutasikia,msemaji wa kikundi atusaidie kutuambie anaumwa na nn maana inatia huruma.
 
Yule jamaa bado anaumwa...lakini hadi leo ugonjwa unaomsumbua haswa haujafahamika
Yupo chini ya uangalizi wa kitabibu hadi leo hii
 
mara ya mwisho nilisoma gazeti la ubuyu linasema jamaa ana tatizo kwenye sehemu ya ubongo. kitu ka uvimbe hivi
 
your current avatar umejipinda kuchagua...mmmm
1477972843686.jpg
lazima anatesa hisia za wengi aisee.
 
Haya ndiyo maoni ya kila mtu, ila ukweli kuhusu huyo jamaa upo kwake yeye mwenyewe na familia yake.
 
Back
Top Bottom