Naomba sifa za wafuatao......Magamba yaliyovuliwa siku za nyuma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba sifa za wafuatao......Magamba yaliyovuliwa siku za nyuma

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mpasuajipu, Apr 11, 2011.

 1. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Wana JF naomba mpasue majipu ya wafuatao kwa ganzi au bila ganzi kwa wafuatao:

  Hawa wote ndio waliowahi kushika wadhifa wa UKATIBU MKUU WA CCM tangu kuanzishwa kwake.
  Je nao walikuwa magamba?
  Lipi lilikuwa gamba gumu kabisa kung'oka?

  1. 1977- 1980 - Pius Msekwa

  2. 1981- Daudi Mwakawago (RIP)

  3. 1982-1990- Rashidi Kawawa (RIP)

  4. 1990-1995- Kolimba (RIP)

  5. 1996-2006- Philip Mangula

  6. 2006-2010- Yusuf (Joseph) Makamba

  Je hili gamba la mwisho kung'oka mnalionaje wadau?

  Maana katika msafara wa mamba na kenge hawakosi. Kenge ni jamii ya mamba waliodumaa.
   
 2. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #2
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,696
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  Hakuna gamba lililovuliwa.Hizo ni lugha za kilaghai. Kwani wamefukuzwa kwenye CCM? Na siyo kila aliyesitaafu uongozi amevuliwa kama gamba. Akina Mwakawago, Kawawa na Mangula walifanya kazi nzuri na kustaafu kwa heshima. Mafisadi ndiyo magamba katika CCM na bado wamo. January Makamba je, siyo gamba?
   
 3. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #3
  Apr 12, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Hapo kinacho fanyika ni usanii na kukumbatiana. Hamna kitu hapo, ni kuendeleza siasa za kifamilia tu
   
Loading...