Siku moja nilialikwa na mtu mmoja mheshimiwa sana huko mitaa ya katikati ya Dar ktk Mhotel mkubwa, nikajua leo mambo safi. Nikakaribishwa chumba fulani, kuingia ndani nikakuta mamama kibao na vipeperushi lundo.
Mara nikapewa mtu anielekeze cha kufanya, nilivyogundua ni hawa jamaa wa milele living,ilibidi niombe kuonyeshwa chumba kikubwa ili niingie mitini.
Hawa jamaa wanawaumiza sana Wabongo wenzetu, siku hizi mpaka kwenye mabasi ni milele living hadi inaudhi.
Lakini ndio soko huria hilo, tuvumilie.