"Naomba Shilingi ishuke ifikie 5,000 kwa dola?" Why?

network marketing sucks,he rich keep on getting richer sababu they use their own people kuwa downlines wao,i once did network marketing,nikafanikiwa kurudisha hela yangu only because i had to suck the close people i knew waliokuwa tayari kujiunga,lakini hamna faida yoyote,,,,siku zote hata hawa politicians kama bill wanasupport network marketing wakisingizia kwamba wanatengeneza employments,,just look at all the rich people wanaohubiri network marketing,they all have ENOUGH MONEY,na wamefungua their own network marketing companies so that they can suck ur money...so kaka,naomba kwanza nikupe pole kwa kukamatwa...network marketing haina tofauti na upatu,the difference ni kwamba imefanywa legal......pole zangu za dhati kwa swala la network marketing....ila kama unafanya mishe zingine na bado unaishi hapa tz,na unalipwa kwa USD ni shavu,hii hali sio wewe tu,tanzanite gem dealers,tour operators,tour guides,na watu wa tours companies kwa sehemu za kilimanjaro na arusha,they pray for the same thing,,na they get rich kwa hilo than kutegemea hela za upatu
 
Its true watanzania wengi wavivu wa kusoma vitabu na kupata habari mbalimbali za dunia inakwokwenda kwa kweli NETWORK MARKETING ni nafasi nzuri kwa mtu ambae anataka kufanya biashara kisasa hufungui duka,ubebi bidhaa kutembeza unachotakiwa kufanya ni kutumia bidhaa then kuona ubora wake na kisha kuwasirikisha wengine.Kwa ufupi hakuna mafanikio yaliyo simple kama watu wanavyodhani hata ukifungua duka unaweza pata BP iwapo huna wateja lakini network marketing no looser.Nawaomba watanzania wasome vitabu na kujuwa ulimwengu unaenda wapi siyo kukaa kwenye ajira miaka 30 unaambulia nyumba ya vyumba vitatu na kusomesha watoto shule za kata ambazo serikali imejenga kutengeneza kundi la watawaliwa.EWE MTANZANIA FUNGUKA
 
Mie ntakuona wewe kichwa kama utatengeneza products/business yako mwenyewe then uitengenezee network marketing.Lakini huu mtindo wako wa kutulisha theory za wazungu na prodcuts zao hatutaki.Utakua mtumwa wao tu na kuwafanya wao kuwa matajiri,tupo kwenye business tunajua kinachoendelea.Narudia kama wewe kichwa tengeneza product yako ipigie debe,tutakua pamoja kukuunga mkono,hatuna muda wa kupoteza kuja kujisajili kwenye network market kuwauzia wazungu bidhaa zao,wadanganye wasiojua.

Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi sana kuhusu mtazamo hasi (NEGATIVE PERCEPTION) wa baadhi ya watu, tena si wachache, ni wengi kweli pale mtu anapowaambia kuhusu Biashara ya ya Masoko ya Mtandao ama Network Marketing, au Multi LevelMarketing, Referral Business, Business of 21st Century, DirectSelling, Recession Proof Business, Nk.

Katika kufanya utafiti nimekutana na watu maarufu duniani wakiwamo marais, wasomi wakubwa, wafanyabiashara wakubwa duniani ambao wameamua ama kuifanya ama kuipigia debe kwa nguvu zote kwa ni mkombozi pekee anayeweza kumtoa mtu katika maisha ya chini kabisa na hatimaye kumwezesha naye kumiliki si pesa za kutosha bali nyumba na usafiri wa maana, (angalia mfano wa Bw na Bi Kayombo) katika karne hii ya 21 ama Zama za habari (Information Age).

Nimekuwa nikijiuliza watu hawa wengi wenye mtazamo hasi wanajua nini ambacho mtu kama Donald Trumpna Robert Kiyosaki hawajui? ama wanapesa nyingi sana kuliko Warren Buffet na Donald Trump? Pengine wana nafasi ama mamlaka kuubwa kuliko aliyowai kuwa nayoBill Clinton? Labda ni wasomi sana au wachumi kulikoPaul Zane Pilzer na Dr Charles King? au maarufu sana kuliko Robert Kiyosaki?

Pengine wananafasi katika jamii yetu kuliko alizowai kuwa nazo mtu kama Juma Kapuya, au Mbunge wa Dodoma Mjini, ama alizonazo Mch Getrude Rwakatare, lakini ikiwa huna pesa kuliko Warren Buffet au Donald Trump, fikiri mara mbili juu ya fursa hii, ama hunayo au huna elimu kama Prof Paul ZanePilzer na Dr Charles King, tafakali, au hunazo au huna nyadhifa kama alizowahi kuwa nazo Bill Clinton, chukua hatua.

Afrika Mashariki kuna watu wasiozidi laki moja walioamua kufanya fursa hii, hawa ndio wanaofurahia kila siku inapotangazwa kuwa shilingi imeshuka thamani, je ni kwanini wanafurahia kushuka kwa shilingi? Jana nilikuwa naongea na dada Mmoja anaitwa Erika, yuko kwenye NWM kwa muda wa mwaka Mmoja na nusu sasa anasema, nami nanukuu, "Naomba shilingi ishuke kila siku, ifikie hata 5,000 kwa dola moja"

Kwanini anasema hivi? Network Marketers dunia nzima wanalipwa pesa zao kwa Dola za marekani, yeye mwezi uliopita alilipwa dola 6.800 na ushee hivyo kama thamani ya shilingi ilikuwa sawa na 1,700 inamaana atakuwa na zaidi ya Tsh 11.5 Millioni, na mwezi huu anatarajia kupata zaidi ya dola 7,000, je si anasababu ya kuomba shilingi izidi kushuka? kwa nini? dola 6,800 x 5,000 (kama anavyoomba) = Milioni 34! kwanini Wanamtandao wasiendelee kuomba shilingi ishuke?

Mie ntakuona wewe kichwa kama utatengeneza products/business yako mwenyewe then uitengenezee network marketing.Lakini huu mtindo wako wa kutulisha theory za wazungu na prodcuts zao hatutaki.Utakua mtumwa wao tu na kuwafanya wao kuwa matajiri,tupo kwenye business tunajua kinachoendelea.Narudia kama wewe kichwa tengeneza product yako ipigie debe,tutakua pamoja kukuunga mkono,hatuna muda wa kupoteza kuja kujisajili kwenye network market kuwauzia wazungu bidhaa zao,wadanganye wasiojua.

Isome tena na tena ukishaelewa naamnisha nini rudi kuchangia, hapa yaonesha umekurupuka.
 
Mie ntakuona wewe kichwa kama utatengeneza products/business yako mwenyewe then uitengenezee network marketing.Lakini huu mtindo wako wa kutulisha theory za wazungu na prodcuts zao hatutaki.Utakua mtumwa wao tu na kuwafanya wao kuwa matajiri,tupo kwenye business tunajua kinachoendelea.Narudia kama wewe kichwa tengeneza product yako ipigie debe,tutakua pamoja kukuunga mkono,hatuna muda wa kupoteza kuja kujisajili kwenye network market kuwauzia wazungu bidhaa zao,wadanganye wasiojua.

RED, Naomba utusaidie hapo, awali ya yote waweza kutujuza product yako au ya Tanzania uliyotumia kujibu THREAD hii? na labda hapo ulipo kuanzaia unyayoni hadi utosini waweza kutujuza product yako au ya Tanzania uliyotinga? endelea kuangalia hivyo mpaka nyumbani kwako pia,utakuwa umetusadia sisi wengine wenye makengeza ambao hatuzioni,

Upo kwenye business unajua kinachoendela, ni vyema sana, je watengeneza na wauza product gani za kwako? Ungejipa muda na kuondoa uvivu wa kusoma ungeelewa kuwa nazungumzia SYSTEM si PRODUCT or COMPANY. Hakuna mahali popote nimesema product au kampuni fulani,

SYSTEM for the Business of 21st Century, nasisitiza MFUMO na si BIDHAA soma tena na tena na tena, kisha njoo ujibu, This system can be applied to any product, even to your maandazi or chapatiz. I insist READ it again very careful, peruse all links attached, do your own research on the SYSTEM and dont be confused with PRODUCTS for now, focus on the MFUMO for now, Remember all Cellphones are not Mobitel.

mobitel2.jpg
 
Q: Dr King we are delighted to have you here,
A: I’m Pleased o be here Tim,

Q: Dr can you tell us a little bit of your education and business background?
A: Tim, I’m Professor of Marketing at the University of Illionois Chicago, I got my Basters and Masters Degree from University of Texas in Austin, Its been tour of duty in Exon Corporation and then return to get my Doctorate in Business Administration from Harvard University, more importantly this discussion, over the last six years, I’ve been involved in doing research, teaching,and consulting in Network Marketing.

Q: So coming from such conservative school, and I know your little bit conservative, what cause you to look at Network Marketing to begin with?

I said, Son, I know enough to know, I don’t need to know anymore.....

Get full Interview HERE
new professionals.jpg
 
Its true watanzania wengi wavivu wa kusoma vitabu na kupata habari mbalimbali za dunia inakwokwenda kwa kweli NETWORK MARKETING ni nafasi nzuri kwa mtu ambae anataka kufanya biashara kisasa hufungui duka,ubebi bidhaa kutembeza unachotakiwa kufanya ni kutumia bidhaa then kuona ubora wake na kisha kuwasirikisha wengine.Kwa ufupi hakuna mafanikio yaliyo simple kama watu wanavyodhani hata ukifungua duka unaweza pata BP iwapo huna wateja lakini network marketing no looser.Nawaomba watanzania wasome vitabu na kujuwa ulimwengu unaenda wapi siyo kukaa kwenye ajira miaka 30 unaambulia nyumba ya vyumba vitatu na kusomesha watoto shule za kata ambazo serikali imejenga kutengeneza kundi la watawaliwa.EWE MTANZANIA FUNGUKA

Ni kweli, Wabongo wengi ni wavivu wa kusoma hata kitu kilicho wazi mbele yao, N.W.M au Direct Selling au Multi Level Marketing hivi sasa yafundishwa kama TAALUMA mpya huko Marekani (angalia Q & A ya Dr Charles King hapo juu) Pia huko Urabuni imefunguliwa chuo maalumu DSEI KICHEKI HAPA na pia uwa kuna tamasha kubwa sana la Direct Selling kila mwaka cheki Hotuba ya Waziri wa Biashara wa UAE
[video=youtube_share;3qWFPp3uhGc]http://youtu.be/3qWFPp3uhGc[/video]

Wabongo, tubadilike, tusome dunia inaendaje, ajira rasmi ni chache sana na kila siku wahitimu wanaongezeka, hii ndio ilifanya Marekani, Uarabuni na nchi zingine zihamue kutafuta njia mbadala wa ajira, nayo ni Network Marketing, ikiwa wataka kujua zaidi juu N.W.M, siku ya Ijumaa pale Holiday Inn, Dar, kuanzia saa 11 jioni, Taaluma hii mpya itawasilishwa, nafasi ni chache sana, si zaidi ya watu 50 wenye nia ya dhati kujua haina hii mpya ya Profession, hapa natoa elimu hii bure, pale haitakuwa bure, utatoa mchango kidogo 10,000. very limited sits, Ni-PM ikiwa wataka au call 0784475576. G. Day

.red,
zimetengwa nafasi chache kutokana na watu wengi kuwa na NEGATIVE PERCEPTION au kuwa too SKEPTICAL on this NEW PROFESSION, hivyo itakuwa ni kwa yule atakayewahi kufanya booking tu.
 
"We easily forgive a child who is afraid of darkness, but the real tragedy of life is when a man is afraid of LIGHT" Plato
 
I like this. So ni kama GNLD?

Hii ni moja ya kampuni zinazotumia SYSTEM hii, hivi sasa makampuni mengi ya Marekani, Ulaya, Asia na Uarabuni yanahamia katika mfumo huu, Tembelea Direct Selling Association, Mfumo huu unaondoa watu wa kati, mawakala, matangazo yote na pesa hiyo kuwarudia wasambazaji binafsi.
 
Ukishapata milioni 34 kwa dola 6000 halafu hiyo milioni 34 yako ukanunulie suruali mbili tu imeisha labda ndo utafurahi izidi kushuka zaidi ili uwe bilionea
 
Dear Nxt Mill, hii habari unayotuambia inavutia sana kwa kila mtu, umetuambia stori za watu,hebu pia tuambie wewe umanufaikaje na biashara hii?

Hubiri unachokitenda

kr
 
Kushuka kwa thamani ya pesa Tanzania ni fursa nzuri kwa wenye bahati kuingiza pesa za nje kama $$$$$ kwa kupata pesa nyingi zaidi. Ila kwa anayeishi na kutegemea tu mzunguko wa pesa ndani ya Tanzania hakuna manufaa ila machungu zaidi. Pesa hiyo ni nzuri ukiitumia dani ya Tanzania, ila kuitoa nje ni sawa na kuitumbukiza shimoni.

Mara ya kwanza natua bongo kutoka ughaibuni nilikokaa kwa nusu muongo masomoni nilinufaika na anguko la kushuka pesa ya Tanzania, kwani kidogo ilichobahatika kupata ughaibuni ilikuwa ni sawa na hakuna kujijenga ughaibuni, lakini bongo kiliniwezesha. Kwa maana hiyo wenye nafasi ni wale walio na nafasi ya kuchuma ughaibuni na kwenda kulia kivulini bongo.
 
Dear Nxt Mill, hii habari unayotuambia inavutia sana kwa kila mtu, umetuambia stori za watu,hebu pia tuambie wewe umanufaikaje na biashara hii?

Hubiri unachokitenda

kr

Kiresua, Ukikutana na mtu Kimara au Kibaha akiwa katika Abood au usafiri wowote akakwambia kuwa aelekea Morogoro je utamshaurije? Tarehe 10 - 11 Disemba utakuwa wapi? nitafute.
 
Direct Sellers/ Network Marketers or MLM's from Burundi, Kenya, Uganda, Rwanda and Tanzania form one of world leading N.W.M Company will convene at Diamond Jubilee in Dar es Salaam for two days, December 10 & 11 to deliberate on the way forward for their new found professionals.

This is regional annual event that will attracts more than 5000 distributors from 5 countries, representing a successful multi-level-marketing company that spans the globe with over 8.5 million distributors, operating in 145 countries generating more than 2.5 billion dollars in sales annually. it will be two days parked with seminars, workshop, presentation, testimonials, dinners and lots of fun.

For many of these distributors, this started out as a sideline business; over the years with consistent planning and hard work, they have seen the growth of their down-line, their health has improved with the use of the company's products and they have grown as people from the education at seminars, developed crucial leadership skills and accelerated their success in living a better life.

This is an opportunity for anybody wants to learn more about this New Professional.

>>>more details read here:<<<<

<strong>[video=youtube_share;_wOSYRPWTOI]http://youtu.be/_wOSYRPWTOI[/video]

ref:

I think its none sense and absurd kuomba tzs ishuke ifikie 5000 kwa dola....what do you think will happen to the country's economy?...hebu tembelea website ya bot uangalie table ya balance of payments....in short Tanzania tuna "import" more than we "export"...mfumuko wa bei utakua mkubwa sana ata izo dola 7000 will be nothing...we would be better off kama tungekua na viwanda vya kutosha like China
 
Ushauri wangu kwa wote wanaotaka kujiunga na Network Marketing, ni SOMA kwanza mfumo wenyewe kwa umakini, jinsi unavyofanya kazi, (viambatanisho mbalimbali katika sred hii vyaweza kukupa mwangaza), ukishaufahamu vyema ndipo utafute kampuni, popote pale ulipo, utakayoona imesimamia katika misingi imara ya NWM, ambazo ni uongozi thabiti, Bidhaa bora na Mpango mathubuti kwa washiriki wake, ziko zaidi ya 200 duniani, tafuta utakayonufaika nayo na yenye Multi Level Income pia, jiunge nayo nawe uanze kufurahia kupanda kwa Dola au,

..anzisha kampuni yako kampuni kama una uwezo na tumia system hii kuendesha biashara, kusambaza huduma ama bidhaa.

"Network Marketing" and "Multi-level Marketing" have been described by author Dominique Xardel as being synonymous, and as methods of direct selling. According to Xardel, "direct selling" and "network marketing" refer to the distribution system, while the term "multi-level marketing" describes the compensation plan

SET UP
Independent, non-salaried salespeople of multi-level marketing, referred to as distributors (or associates, independent business owners, dealers, franchise owners, sales consultants, consultants, independent agents, etc.), represent the company that produces the products/provides the services. They are awarded a commission based upon the volume of product sold through their own sales

"Roland Whitsell, a former business professor who spent 40 years researching and teaching the pitfalls of multilevel marketing": "You'd be hard-pressed to find anyone making any money, the primary product is opportunity.

The strongest, most powerful motivational force today is false hope.

"In the USA, the average annual income from MLM for 90% MLM members is no more than US $5,000, " (San Lian Life Weekly 1998)

Source: Wikipedia
 
Ni kweli, Wabongo wengi ni wavivu wa kusoma hata kitu kilicho wazi mbele yao, N.W.M au Direct Selling au Multi Level Marketing hivi sasa yafundishwa kama TAALUMA mpya huko Marekani (angalia Q & A ya Dr Charles King hapo juu) Pia huko Urabuni imefunguliwa chuo maalumu DSEI KICHEKI HAPA na pia uwa kuna tamasha kubwa sana la Direct Selling kila mwaka cheki Hotuba ya Waziri wa Biashara wa UAE
[video=youtube_share;3qWFPp3uhGc]http://youtu.be/3qWFPp3uhGc[/video]

Wabongo, tubadilike, tusome dunia inaendaje, ajira rasmi ni chache sana na kila siku wahitimu wanaongezeka, hii ndio ilifanya Marekani, Uarabuni na nchi zingine zihamue kutafuta njia mbadala wa ajira, nayo ni Network Marketing, ikiwa wataka kujua zaidi juu N.W.M, siku ya Ijumaa pale Holiday Inn, Dar, kuanzia saa 11 jioni, Taaluma hii mpya itawasilishwa, nafasi ni chache sana, si zaidi ya watu 50 wenye nia ya dhati kujua haina hii mpya ya Profession, hapa natoa elimu hii bure, pale haitakuwa bure, utatoa mchango kidogo 10,000. very limited sits, Ni-PM ikiwa wataka au call 0784475576. G. Day

.red,
zimetengwa nafasi chache kutokana na watu wengi kuwa na NEGATIVE PERCEPTION au kuwa too SKEPTICAL on this NEW PROFESSION, hivyo itakuwa ni kwa yule atakayewahi kufanya booking tu.

"Multilevel marketing plans that pay commissions for recruiting new distributors. They're actually illegal pyramid schemes. Why is pyramiding dangerous? Because plans that pay commissions for recruiting new distributors inevitably collapse when no new distributors can be recruited. And when a plan collapses, most people - except perhaps those at the very top of the pyramid - end up empty-handed.

Mkuu naona umeamua kutafuta ''Victims''
 
Back
Top Bottom