naomba serikali kuu kuwa na app kujua matatizo ya nchi na wananchi wake.

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
hii ni project ya mwisho kwangu.?

project nyingi zinapotea kwa wajinga kwa sababu ukipeleka zinakuwa crash ,kwa sababu wafanye wao.

hii project inatakiwa kuwa tume uhuru na si kupitia chama tawala .

project hii inaweza kueleza ,kuchambua na kutatua lolote bila mbunge kupitia wa chama chochote kuleta ubishi au kutetea hoja zake na ziwe record.

teknolojia inakuwa ila kama ukitaka kutunga wewe tunga .ila hujui nacho tunga.
IMG_0233.jpg


hii app ijawahi kutokea duniani labda kidogo sijui wapi kwa nchi zenye maendeleo.


sitaki kumwaga mbonga,ugali,jiko na mpaka mpishi !
 
Hiyo App ita crash ndani ya siku 3.

na kweli kabisa maana hii ni project ya mwisho kwangu na nyingi nishapigwa sana crash au kufanyiwa ujanja .

hii project zaidi ya katiba na vyama tawala,vyama pinzani hata teknolojia labda kama nayosema
 
Back
Top Bottom