Naomba serikali iwasaidie ndugu zetu wa omba omba

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,299
33,082
05_10_67c9ja.jpg

Omba Omba maarufu, Athony Matonya akipita katika daraja la Shani, mjini Morogoro huku akiomba kwa wakazi wa mji huo kama alivyokutwa jana. Ombaomba huyo alishawahi kuwa gumzo katika jiji la Dar es Salaam kutokana na kufukuzwa mara kwa mara na mamlaka za jiji. (Picha na John Nditi).
 
Hivi hawa omba omba wana haki ya kuwa mjini/Mijini? Je tusipowapa hivyo vijisenti watarudi makwao? Tena kunawengine wanakera sana sana unakuta mama amekaaa pembeni ya barabara anatuma watoto wadogooo! waombe pesa.

Je Kuwanyima hawa ni Dhambi?
 
Hivi hawa omba omba wana haki ya kuwa mjini/Mijini? Je tusipowapa hivyo vijisenti watarudi makwao? Tena kunawengine wanakera sana sana unakuta mama amekaaa pembeni ya barabara anatuma watoto wadogooo! waombe pesa.

Je Kuwanyima hawa ni Dhambi?[/QUOTE]
KUTOA NI MOYO LAKINI KUMBUKA ZAKA NA SADAKA KAMA ILIVYOUSIWA KATIKA LILE FUNGU ALIOKURUZUKU NALO MUNGU.
 
Back
Top Bottom