Naomba Serikali itangaze kuwa kujikinga na COVID-19 South African variant kuwa jambo la lazima

Mars 12

JF-Expert Member
Feb 25, 2021
221
349
Nikiwa kama Daktari nashauri Serikali itangaze Rasmi Wananchi wachukue hatua za kujikinga na huu ugonjwa ambao tayari ushaua watu milioni 3 duniani.

Jamani sina uhakika kama huu ugonjwa upo kwetu lakini la kujiuliza ni kuwa upo kwa majirani zetu wote, achilia mbali nchi za Ulaya, Marekani, Amerika ya Kusini na Nyinginezo.

Tuache kukaa kwenye mikusanyiko, tuvae barakoa, kunawa mikono, kutosalimiana kwa kupeana mikono, kukaa mbali mbali (Distancing).

Nawapongeza Maaskofu na Mapadri Makanisani kwa kufuata utaratibu huu. Nawashauri BAKWATA, tena kwa kukaribia MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI kuwashauri waumini wa kiislamu kufuata utaratibu huu misikitini na hasa Distancing.

Nimetoa ushauri kwa Serikali yangu kwa nia njema kabisa hasa ukizingatia kwa sasa Dunia ni kama kitongoji.

Ahsanteni.
 
Mkuu wewe ni Daktari halafu unasema hauna uhakika kama huu ugonjwa upo nchini, r u serious?
 
Kila mtu aendelee na upande anaoona unafaa, mimi hata uninyooshee bunduki hunivalishi mapampas puani na mdomoni. Vaeni na familia zenu wengine mtuache na maisha yetu. Halafu Nina wasiwasi wengi mnaokomalia CORONA ni watoto wa mama mnaochuma na kulia kivulini. Wengine Corona inaingia asubuhi mpaka saa 7 mchana inapotea yenyewe.
 
Pia why ushauri huu unakuja muda huu wakati effects za covid 19 zimeshatuathiri?au ndio wale wale you just got your voice now! na pia ondoa neno south Africa hapo maana hauna uhakika kama variant hiyo ipo hapa
 
Korona ukiiamini na kuiogopa utaambiwa unayo utakapopima
Ugonjwa huu kama wakisaikolojia.
Ukimwi wenyewe naona kama drama sembuse korona
Nani amewahi kumwona mdudu wa hiv yaani virusi cha ukimwi kwa macho yake kupitia vifaa maalumu?
Leo mafua mnaambiwa korona mnakufa kwa hofu
 
Nikiwa kama Daktari nashauri Serikali itangaze Rasmi Wananchi wachukue hatua za kujikinga na huu ugonjwa ambao tayari ushaua watu milioni 3 duniani.

Jamani sina uhakika kama huu ugonjwa upo kwetu lakini la kujiuliza ni kuwa upo kwa majirani zetu wote, achilia mbali nchi za Ulaya, Marekani, Amerika ya Kusini na Nyinginezo.

Tuache kukaa kwenye mikusanyiko, tuvae barakoa, kunawa mikono, kutosalimiana kwa kupeana mikono, kukaa mbali mbali (Distancing).

Nawapongeza Maaskofu na Mapadri Makanisani kwa kufuata utaratibu huu. Nawashauri BAKWATA, tena kwa kukaribia MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI kuwashauri waumini wa kiislamu kufuata utaratibu huu misikitini na hasa Distancing.

Nimetoa ushauri kwa Serikali yangu kwa nia njema kabisa hasa ukizingatia kwa sasa Dunia ni kama kitongoji.

Ahsanteni.
Hivi watu kama ninyi who are you.So stupid,idiots,loon or what.Yaani upuuzi wote as long as it is from the West it is fine!Wazungu wenyewe wanakataa ujinga wa C-19 wana andamana wanapinga;Western highly respected doctors wanasema C-19 is a sham,ninyi mnaungana na the fake Western compromized media,politicians and scientists to hype the C-19 con game.But who are you really,part of the Mockingbird Media propaganda machine I believe scattered all over the World.Lakini wanawalipa nini hasa ku-betray your fellow human beings.Very surprising.
 
Korona ukiiamini na kuiogopa utaambiwa unayo utakapopima
Ugonjwa huu kama wakisaikolojia.
Ukimwi wenyewe naona kama drama sembuse korona
Nani amewahi kumwona mdudu wa hiv yaani virusi cha ukimwi kwa macho yake kupitia vifaa maalumu?
Leo mafua mnaambiwa korona mnakufa kwa hofu
Aisee una akili sana.Mkuu wana chowadanganyia watu kwamba ni Corona ni infact Exosomes.Fuata link ifuatayo uone what Exosomes are,it is infact part of our biology!Kweli nimeamini kwamba wajinga wanaliwa,tumeliwa!

Back
Top Bottom