Naomba Serikali imchunguze huyu afisa utumishi Kilolo anayefahamika kwa jina la Kayombo

MTAKA HABARI

Senior Member
Jan 17, 2019
123
149
Kwakweli majibu yake kwa watumishi yanadharau sana, hana muda wa kushughulika na kero za mtu.

Unaweza ukamsubiri ofisini na akaja na asikuhudumie na ukijaribu kumuuliza kitu akakujibu mkato tu. Najiuliza hii jeuri anapewa na nani?

Kwa moyo safi kabisa naomba serikali yangu imchunguze huyu Afisa utumishi, kwakweli anaudhi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom