Naomba Serikali ifute Hotel Levy kwenye mamlaka ya halmashauri

Koryo2

JF-Expert Member
Nov 28, 2016
2,056
2,515
Serikali iko kwenye mchakato wa kutayarisha bajeti ya 2021/22.

Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali katika bajeti ijayo aidha ifute HOTEL LEVY katika Mamlaka ya Halmashauri au iweke tozo ya flat rate badala ya makadirio ambayo inaashiria harufu ya rushwa.
 
Usipotoshe Umma, hakuna makadirio kwenye hotel levy katika ngazi ya Halmashauri, inalipwa 10% ya mauzo kulingana na vitanda vilivyotumika, hapo rushwa inatoka wapi?
 
Usipotoshe Umma, hakuna makadirio kwenye hotel levy katika ngazi ya Halmashauri, inalipwa 10% ya mauzo kulingana na vitanda vilivyotumika, hapo rushwa inatoka wapi?
Ni 0.03% ya mapato yote
 
Hatuwezi kufuta kamweee
we nae hebu jifunze kupita kimya kimya saa nyingine. Maskini ya Mungu pengine hata hujui hiyo hotel levy ni nini, lakini kwa vile umejitia mahaba upofu wa kuisifia CCM basi na wewe ushajiona mmoja wa watoa maamuzi. Eti hatufuti kamwee, wewe na nani. Nyambaaf
 
If uko VAT registered..otherwise ni 10% ya mapato..ila kama una lodge with less than vyumba vinne kama sikosei hulipi
 
Back
Top Bottom