Naomba sample ya barua ya mwaliko ili niombe valid passport

Kim McDamon

Member
Feb 23, 2019
46
9
Wakuu Nina hitaji kipata passport
sasa pale immigration wanataka uthibitisho wa safari
sasa nina mtu yupo nje Natasha anisaidie hiyo invitation letter
naomba kujua mwenye anayo sample au ujuzi anisaidie tafadhali

Natanguliza shukran

passport ni haki yako,na swala hilo ni mazingira tu ya hiyo passport "sema na itaji kwa matuzi yangu kusafiri mwenyewe nchi jirani hata kenya kwa msanii jagwa" wakikupa ndio kapambane na ubalozi wa huyo anaye taka kukualika aka viza
 
Sasa hivi ili wakupe lazima uwaoneshe evidence kwamba una safari

ni kuzinguana ni haki yako,hakuna icho kifungu sehemu cha kupata mualiko,labda maombi ya passport kwa matumizi fulani sio mualiko.mualiko huko ubalozini
 
ni kuzinguana ni haki yako,hakuna icho kifungu sehemu cha kupata mualiko,labda maombi ya passport kwa matumizi fulani sio mualiko.mualiko huko ubalozini
Nimeenda Uhamiaji nina documents zote but still wanataka mwaliko
Please anaejua anisaidie
 
Nimeenda Uhamiaji nina documents zote but still wanataka mwaliko
Please anaejua anisaidie
Sikiliza watu tunavyokwambia Ni kwamba hayo ndio maneno yao miaka yote.
Lengo lao ili ujiongeze uwape hela,Mimi niliwah kuchukua passport miaka ya nyuma na sikupeleka mwaliko wowote.
Kwa hyo ukijiongeza kutoa pesa hautasikia tena masuala ya mwaliko.
 
Ifike point uhamiaji hiki kigezo cha kuwa na barua ya mwaliko wakiache kwa sababu hicho kitaulizwa na ubalozi husika wa nchi unayotaka kutembelea pasiport nchi nyingi inatumika kama international Id na uwakilishi wa nchi yako huko uendako na ndani ya nchi.
Jambo lingine hebu wajitahidi kuweka zone za kuprint passport waachane na mambo ya MAKAO MAKUU TU.
Nimeenda Uhamiaji nina documents zote but still wanataka mwaliko
Please anaejua anisaidie
 
nichek PM nikupe invitation letter mkuu
kuna demu moja alikua kwenye stationary yangu
nimu editie kwahiyo nina invitation letter ya yule demu
 
Back
Top Bottom