Naomba ratiba ya gari za IT zipitazo Tinde (Shinyanga)

Km huna haraka panda bus ndugu, Mara nyingi yanakuwa kibo pale si salama sana na muda utakaotumia mpk tinde ni the same na muda wa bus tu, lakn pia nauli wanaweza kukuchrg mpk40 hv, inategemeana naww utawaingia vp.
 
Ushauri mzuri sana.
 
Advantage yake nikuanza safari hata kati kati ya siku.
 
Back
Top Bottom