Naomba ratiba ya gari za IT zipitazo Tinde (Shinyanga)

Ni magari mapya yamenunuliwa kupitia bandari ya dar na yanaenda nje ya nchi ,IT means international transport kama sijakosea
Nadhani IT inamaanisha In Transit (IT), yaani gari linalopita tu kuelekea nje ya mipaka yetu na halijasajiliwa huko linakokwenda.
 
Kuna siku nimepanda IT, zilikuw gari3 zote zinaenda ug, aisee moja ya gari ilipata ajali mby sn, at least 4people died on fatal car crash, na hio gari dereva alikataa 30k yng mpk tinde hapo. So sad walikufa wote. Ndio maana nashauli km hana haraka apande bus tu.
Uwongo mtupu,bhas unajiona wewe ndo una Yeeeeeeeeeeeesu kwa ushuhuda wako wa uwongo kwani mabasi hayaanguki ?
 
Uwongo mtupu,bhas unajiona wewe ndo una Yeeeeeeeeeeeesu kwa ushuhuda wako wa uwongo kwani mabasi hayaanguki ?
Bila shaka wewe ni jinsia KE, siwez kukujib baada ya hii comment, huenda bwana yako hakufikishi vzr ndio maana unajazba na comments za watu, anyways km ni wakiume Mimi siwez kukupumlia aisee.



Over.
 
Wakuu habari
Naomba kupata ratiba ya muda ambao magari ya IT yatokayo Dar na mahali yanapopatikana ukiwa Dar.
Nawasilisha.

nenda kwenye mataa ya nyerere rd na kawawa kituo cha shell oil com kuna offisi ya veta hapo ndipo kituo chao cha kukusanyika na kuondokea na kubeba abiria hapo kama wapo
 
Back
Top Bottom