Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 50
Habari za kazi wandugu nataka kujenga nyumba maeneo ya Kuanzia Kimara na kuendelea Kibaha ,Mbezi Temboni, Kwamsuguri,Misugusugu sasa naombe Ramani mwenye nayo iwe na Master moja Bed 4 moja ya Mgeni iwe Sebuleni Office , Kitchen Dining Ziwe mbili ya Chakula na ya Breakifast Laundry room Stoo, Garage,Bath mbili Toilet mbili ile room ya Mgeni Iwe Master ndogo Asante wandugu.