Naomba ramani za nyumbawandugu

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Habari za kazi wandugu nataka kujenga nyumba maeneo ya Kuanzia Kimara na kuendelea Kibaha ,Mbezi Temboni, Kwamsuguri,Misugusugu sasa naombe Ramani mwenye nayo iwe na Master moja Bed 4 moja ya Mgeni iwe Sebuleni Office , Kitchen Dining Ziwe mbili ya Chakula na ya Breakifast Laundry room Stoo, Garage,Bath mbili Toilet mbili ile room ya Mgeni Iwe Master ndogo Asante wandugu.
 
Sasa kiwanja umepata maana unataja maeneo tu bila kusema kama unakiwanja au ukipata Ramani ndio ununue kiwanja?
 
Habari za kazi wandugu nataka kujenga nyumba maeneo ya Kuanzia Kimara na kuendelea Kibaha ,Mbezi Temboni, Kwamsuguri,Misugusugu sasa naombe Ramani mwenye nayo iwe na Master moja Bed 4 moja ya Mgeni iwe Sebuleni Office , Kitchen Dining Ziwe mbili ya Chakula na ya Breakifast Laundry room Stoo, Garage,Bath mbili Toilet mbili ile room ya Mgeni Iwe Master ndogo Asante wandugu.

Hizi specifications ni kama unaomba mtu akuchoree ramani. Itakuwa unfair, maana itabidi ulipe.
Kama unataka ready made inabidi uwe flexible.
Pia taja size ya kiwanja tafadhali.
 
Mbona designers wapo kibao, watafute tu mjini na uwalipe pesa ya ramani manake si bure!
 
Habari za kazi wandugu nataka kujenga nyumba maeneo ya Kuanzia Kimara na kuendelea Kibaha ,Mbezi Temboni, Kwamsuguri,Misugusugu sasa naombe Ramani mwenye nayo iwe na Master moja Bed 4 moja ya Mgeni iwe Sebuleni Office , Kitchen Dining Ziwe mbili ya Chakula na ya Breakifast Laundry room Stoo, Garage,Bath mbili Toilet mbili ile room ya Mgeni Iwe Master ndogo Asante wandugu.

Hapo kwenye red mkuu, punguza mbwembwe!
 
Unapendelea iwe one floor au juu na chini! na kiwanja ni square mita ngapi?????
 
Mkuu inaonekana ramani ya nyumba X,Y na Z haziwezi kuwa sawa japo zote zitakuwa na vyumba sawa. kila ramani itakuwa na muonekano wake kutegemeana na matakwa ya mwenyewe.

So nakushauri uwatafute wataalamu (Architects) watakusaidia sana na utapata ramani kulingana na mahitaji yako.

Uwezi taka sebule 2 na ukashindwa kulipa design fee.
 
Mimi nina kiwanja Heka mbili yaani nina kiwanja kikubwa sana maeneo ya Kwa msuguri na Mbezi nina Nusu heka ila kibaha ni cha kupima robo nafikiri si unjua viwanja vya serikali. Tafadhali sana wakuu na mtu akitaka kiwanja nitamuuzia miguu20 kwa 20 bei milioni 3 kipo mbezi Mpigi Magoe
 
Aisee sasa miguu 20 kwa mtu kma Hasheem au kwa mbilikimo km mie!!
 
Kwa sasa gharama za ujenzi ziko juu sana unaweza vuta pumzi kidogo ili gaharama zishuke
 
Unaweza kujenga kama hii.
 
Attachments

  • house.jpg
    house.jpg
    8.6 KB · Views: 91
Kwa sasa gharama za ujenzi ziko juu sana unaweza vuta pumzi kidogo ili gaharama zishuke

Sasa lini gharama zitashuka na tulitegemea Slaa achukue nchi ili tuweze kujenga kwani bei zilikuwa zishushwe!
 
Aisee sasa miguu 20 kwa mtu kma Hasheem au kwa mbilikimo km mie!!

Babu yangu alikuwa akipima urefu kwa kutumia viganja, mikono au miguu lakini hesabu hizo zilikuwa kwa matumizi yake tu. Sasa tuambie miguu 20 kwa 20 ni mita ngapi?
 
OP, acha uswahili bana....

Tafuta mtaalamu (wapo kibao tu mjini hapo na pia wanajitangaza kwenye magazeti). Mpeleke site, aone kiwanja kina ukubwa gani, kimekaaje etc then ndo muanze kuongea vikolombwezo vyote hivyo.

Andaa pesa ya kumlipa, najua haitazidi laki mbili.
 
Mkubwa hilo bangaluu laki 2? acha kuchezea prof. za watu wewe? aje nimchoree kama anahitaji kweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom