technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,485
- 50,880
Naomba Rais magufuli atangaze kutomtambua Rais ambaye muda wake Wa kutawala Gambia umeisha....
Rais Wa Botswana kashaonyesha mfano kuwa nchi yake ni ya kidemocrasia......
Ametangaza kutomtambua Yahya..
Je Tanzania tunasubiri nini tukiwa ni nchi ya kidemocrasia?
Rais magufuli anasubiri nini kumpongeze Barrow na kutangaza kutomtambua Jammeh?...
Kama uliweza kumpongeza Mseveni unashindwa nini kumpongeza Barrow?
Serikali itoe msimamo wake kama inamuunga mkono Dicteta au Rais mpya Bwana Barrow?......
Nasubiri msimamo Wa Rais magufuli........