Musoma Yetu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2016
- 2,629
- 2,288
Huyu jamaa pia nilikuwa naomba awemo kwenye timu ya acaccia ya mazungumzo. Huwa nampenda sana, nadhani raisi akimuweka sio mbaya. Nimewaza tu.. Naona kama mzalendo wa bara la Africa.
huyu ni tapeli tu. mambo ya watanzania mkenya anahusikaje?
akatuue kabisa..potelea mbali..Kwakua wewe unampenda ndo awekwe? Mimi nampenda Sana B.W. Mkapa, awekwe na huyu.
ha ha ha ha haaaaa...akatuue kabisa..potelea mbali..
Hii nimeipenda, nadhani kuna umuhimu wa kuwa jumuishaKwakua wewe unampenda ndo awekwe? Mimi nampenda Sana B.W. Mkapa, awekwe na huyu
Kwa nini mkuu??? Mi nadhani huyu mtu akiwemo kama kutuwakilisha Africa ni fursa pekee kwa watu weusiHaha..ataharibu kabisa,wazungu hawatokaa warudi tena
Ila hata akiwepo itakuwa nzuri. Mabosi wake ndo walikuwa wanamuangusha. Mzee nahisi yupo vizuri, tungelimpa chance tenachenge awepo kwenye hii kamati
kwaiyo kwasababu yy ni proffessor ndo anajua kila kitu, HOVYO sanaa..Huyu jamaa pia nilikuwa naomba awemo kwenye timu ya acaccia ya mazungumzo. Huwa nampenda sana, nadhani raisi akimuweka sio mbaya. Nimewaza tu.. Naona kama mzalendo wa bara la Africa.
Wabongo wakisikia neno professor basi wanaloa huko chini yani sijui nani kawaloga! Huyo prof kuna mambo mengi tu anaendaga chaka alimsifia sana rais wa Nigeria siku izi naona kafunga bakuli simsikii akimsifiahuyu ni tapeli tu. mambo ya watanzania mkenya anahusikaje?
I like the phrase SIASA ZA BIASHARAAcheni kufananisha siasa,hizi za majukwaa na siasa za biashara