Naomba Prof. Patrick Lumumba awekwe kwenye majadiliano ya Acacia

Huyu jamaa pia nilikuwa naomba awemo kwenye timu ya acaccia ya mazungumzo. Huwa nampenda sana, nadhani raisi akimuweka sio mbaya. Nimewaza tu.. Naona kama mzalendo wa bara la Africa.
kwaiyo kwasababu yy ni proffessor ndo anajua kila kitu, HOVYO sanaa..
 
Back
Top Bottom