Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,587
- 15,450
Wabaya sana nyie.Mungu anaponya Ukimwi.
Kwa wale wenye maambukizi tu na (wanaomjua Mungu)
Ukimwomba Mungu kwa bidii hakika unapona Ukimwi.
Wengi nimewashuhudia kwa macho yangu na wamepona kabisa.
1. Hatua ya Kwanza ni lazima umjue Mungu halisi.
(miungu haijawahi kufanya jambo lolote jema kwa binadamu, ushahidi mnao)
2. Hatua ya pili utubu dhambi zako zote kwake, na uahidi utaishi maisha ya kumpendeza yeye siku zako zote.
3. Hatua ya tatu ni kumwomba kwa bidii, kwa uaminifu na utii na kunyeyekea kwa jinsi anavyoelekeza yeye namna ya kumwomba ili akujibu.
(maombi mengine hayajibu kwani yanaombwa tofauti na kanuni zake)
4. Hatua ya nne ni kwenda kupima mara unapoelekezwa kufanya hivyo kupitia hasa ndoto za mafunuo za usiku au mchana
5.Hatua ya tano ni furaha ya kupona.
Mungu halisi hashindwi jambo lolote.
Samahani kwa wale ambao wako mbali Kiroho, hasa Roho Safi ya Mungu.
Mnasababisha vifo vingi sana.Kuna waathirika wanakatishaga dose alafu wanafupisha maisha zaidi.
Hata wanao umwa na kutumia dose wanamjua Mungu pia.