Naomba picha ya Mgahawa uliojengwa kwa kuwekwa hema juu

Lily tom

Member
Apr 26, 2019
95
65
Naomba mwenye mgahawa wa nje siyo fremu aliojenga kwa kuweka hema juu mzuri anitumie picha tafadhali.
Nimepata eneo la wazi nataka nijenge.

Sasa natafuta kitu kizuri nimshirikishe fundi wangu asante kwa ushirikiano wako.Hata kama upo mahali saiv unakula nipigie picha unitumie kama ni pazuri. Asante sana
 
Unajenga hapo kibaha..??

Invia Pinterest kuna picha nzuri unajenga mgahawa amazing usiige ya hapa bongo leta design mpya
 
Unajenga hapo kibaha..??

Invia Pinterest kuna picha nzuri unajenga mgahawa amazing usiige ya hapa bongo leta design mpya
kumbe na ww unaielewaaa?, hii ni moja ya app yangu kwenye simuu, picha na idea nying hasa za namna hii napataga kulee
 
Naielewa vizuri nashangaa jamaa anasema eti hajaona sample kule
labda km haja log in lazima watam limit(ataona picha chache sana) au search words zake hazijamatch though wanaweza waka ku redirect.

Anyway.. Anasema amepata, ni vizuri piaaa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom