Naomba Picha ya Mbunge Huyu Hapa Jamvini Haraka Sana Tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Picha ya Mbunge Huyu Hapa Jamvini Haraka Sana Tafadhali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ndallo, Jul 7, 2011.

 1. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Jamani Geaty Thinkers naomba kama kuna mtu mwenye picha ya yule mbunge aliyesema pale bungeni kua CCM ni CHAMA CHA MUNGU aniwekee hapa janvini ili niweze kifanyia utafiti wangu wa kitaalam! Asante na nawasilisha.
   
 2. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,331
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  usipoteze muda na magoigoi....... fanya utafiti wa kilimo, uchumi, biashara, viwanda nk. tuna matatizo mengi bana, tusipoteze muda na resources nyingi kwa siasa....tujitambue. wa tz bana kwa porojo. yani nyie mnazubaishwa na vikauli kauli tuuuuuuuu
   
 3. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  mkuu km unataka kufanya uchunguzi wa huyo mbunge mdogo unakosea, anza na raisi, nahisi ana matatizo zaidi.
   
 4. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,127
  Likes Received: 1,083
  Trophy Points: 280
  Hapana wakuu hii kauli yake kwakweli sikupata usingizi kabisa! Tafadhali naombeni picha yake!
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Huyu mlisha ambiwa ni mgojwa na ni mbishi....sasa afanye uchunguzi gani...
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Huyu mlisha ambiwa ni mgojnwa na ni mbishi....sasa afanye uchunguzi gani...
   
 7. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Umedata! Kazi kweri kweri
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwani huyu ni mb au rais au mkuu wa kaya..
   
 9. M

  Msharika JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 936
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Na kukuakikishia, saa kavaa mkono wa kulia na wa kushoto sijui hiyo chuma ni ya nini.
   
 10. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Fuatilia link hii: www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=32343
   
 11. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  ni kweli lakini tabibu wake si keshakufa? itabidi tu afanyiwe uchunguzi asije akatuingizia gharama za uchaguzi sie, ila bora gharama kuliko huyu raia aisee, ha!ha!ha!ha!
   
 12. mpayukaji

  mpayukaji JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 943
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hajakosea. CCM ni chama cha muungu uitwao ufisadi na papa wake ni Jakaya Kikwete. Si lazima kila muungu uwe Mungu. Hamuoni hamnazo wanavyoabudia kila upuuzi wa CCM?
   
Loading...