Naomba Orodha ya English Literature Books kwa ajili ya form 3 - 4

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
najua hiki ni choo cha kike, lakini mwenye jibu naomba anipatie.

ninavitafuta sana.

nataka titles tu.
 
1.Things fall apart
2.Is it possible to carry book and spear?
3.The River between
4.This time tomorrow.
5.The Songs of Lawino.
Mkuu unataka orodha kiasi gani???????
 
Enzi zetu kilikuwemo pia, "Weep not child", "The African Boy, Mine Boy (mnaweza kunisahihisha hapo).
 
najua hiki ni choo cha kike, lakini mwenye jibu naomba anipatie.

ninavitafuta sana.

nataka titles tu.

Orodha ni hii ifuatayo Novels: SPARED, PASSED LIKE A SHADOW,WEEP NOT CHILD,THE INTERVIEW,A WREATH FOR FATHER MAYOR.Upande wa plays: THREE SUITORS ONE HUSBAND,THE LION AND THE JEWEL,THE BLACK HERMIT,THIS TIME TOMORROW.Upande wa poetry:SUMMONS,SONG OF LAWINO,GROWING UP WITH POETRY.Hivyo ndivyo vinatumika kwa mtaala wa sasa mkuu!
 
orodha ni hii ifuatayo novels: Spared, passed like a shadow,weep not child,the interview,a wreath for father mayor.upande wa plays: Three suitors one husband,the lion and the jewel,the black hermit,this time tomorrow.upande wa poetry:summons,song of lawino,growing up with poetry.hivyo ndivyo vinatumika kwa mtaala wa sasa mkuu!

safi sana!
 
1.Things fall apart
2.Is it possible to carry book and spear?
3.The River between
4.This time tomorrow.
5.The Songs of Lawino.
Mkuu unataka orodha kiasi gani???????

vishafutwa mkuu hivyo ulivyotaja. Vinavyotumika kwa uchache vyao ni;1. Unanswered cries. 2. Spared. 3. The Interview. 4. Weep not Child. 5. Three suitors one husband 6. Summons, etc
 
Orodha ni hii ifuatayo Novels: SPARED, PASSED LIKE A SHADOW,WEEP NOT CHILD,THE INTERVIEW,A WREATH FOR FATHER MAYOR.Upande wa plays: THREE SUITORS ONE HUSBAND,THE LION AND THE JEWEL,THE BLACK HERMIT,THIS TIME TOMORROW.Upande wa poetry:SUMMONS,SONG OF LAWINO,GROWING UP WITH POETRY.Hivyo ndivyo vinatumika kwa mtaala wa sasa mkuu!

Bahati yako leo yani, ilikuwa nikudungue na kitufe cha "thanks" ila PAW kakificha!
 
1.Things fall apart
2.Is it possible to carry book and spear?
3.The River between
4.This time tomorrow.
5.The Songs of Lawino.
Mkuu unataka orodha kiasi gani???????

nakumbuka kwenye paper ye2 2006 nlikua nimekariri vitabu # 1,4 na 5,nkagonga li 'B' langu.
 
NOVELS
1. Unanswered cries
2. The wreath for Father Mayer of Masasi
3. Passed like a shadow
PLAYS
1. The Lion and The Jewel
2.Three Suitors One husband
3. The Black Hermit
POETRY
1. Summons
2. Growing up with Poetry
3. Songs of Lawino

Just to mention a few.
 
aiseee..... Umenikumbusha mbali sanaaa.... Big up...
 
Back
Top Bottom