Naomba nondo kuhusu gari aina ya Subaru Forester XT

byakunu

Senior Member
Sep 13, 2016
161
500
Wakuu mmeamkaje?

Binafsi naipenda sana subaru nikiionaga mtu road ana drive huwa naona wivu sana. Ndoto zangu ni kumiliki subaru forester XT hii gari naipenda sana. Najipanga ni import hio mashine from Japan.

Wataalam naombeni nondo kuhusu hio gari kwa anaejua shida yake na sifa za hio gari kwa ujumla. Sijataka kwenda google kwasababu wazungu ndo wana discus ila nimeleta humu Jf coz najua kuna watu wana miliki hio chombo.

View attachment 1762186
View attachment 1762187
View attachment 1762188
View attachment 1762189

Hio gari ina 1990cc tu.

SUBARU XT 2011. EJ20

Naimiliki hii gari kwa muda sio mrefu sana ila wacha ni "shee" experience yangu

Hii ni gari nzuri sana based on multiple factors kama high ground clearance hapa huna haja ya kuweka specers, pili wanao sema gari hii ukifika speed 120 inapepea ni waongo na washabiki hewa, hii gari iko stable sana barabarani ukizingatia engine yake ni boxer engine na ina HP kubwa tu 230ps(169kW)/5600rpm piston zinapiga horizontal hivo gari ila kua more stable kuliko kawaida na ina uzito tani moja na nusu utasemaje ina pepea?

Hii gari ina SI drive.. ni option tatu kuna knob button pale kati unachagua mode unayotaka. Ukiwa na mizunguko ya mjini hapa huhitaji multiple revs bonyeza inteligent drive inakupeleka ECO mode throttle ina funguka kidogo, wese hutumii sana utaona consuption yako ya mafuta haipishani sana na mwenye gari ya cc1500-1700 (weka hii mode tembelea gari then track matumizi yako ya mafuta utakuja niamini).

Mode za sport na sport shap hizo sasa uwe highway unataka mbio zako uzione.... engage hizo mode throttle ita funguka sana kuruhusu hewa iende kwenye combustion chamber na piston zitazunguka zaidi lakini hapa wese litatumika sana but, out put yako ya mwendo ( ma mbio) kwenye overtaking, kupanda milima kwa kasi utaiona, hasa ukiwa na support ya turbo, basi hapo ndo wale unao ongozana nao hawata acha kuona kila aina ya rangi mbele yao............brooo hakukamati mtu nakwambia.

Pia gari hii weka tairi yake inayotakiwa ya 225/55/17 mzungu sio mjinga kukwambia hiyo.. angalia kwenye mlango wa dereva pemben usawa wa mbavu zako amekuandikia.... Wabongo sasa wanabadili Miguu na rimu, mtu kwa sifa zake za show off anakuwekea wide rim na tairi mpaaka 305 rim 18 wanaweka.. gari inakua pana kama chatu mwenye hasira .. sasa kwann isikulie wese? sisi hatuna mahesabu...

Thirdly.. hii gari engine yake ni very notorious linapokuja suala la maintanance na service, kwanza inatakiwa udownload english manual ya Subaru XT na XS (section 12-2 specification zipo pale wamesema) Hii manual uwe nayo uisome,, wazungu sio sawa na mafundi wetu wa huku mwisho wa dunia, wale jamaa wamekuambia hadi aina ya coolant ya kutumia, aina ya Engine oil wamekwambia weka 5W30 FULLY SYNTHETIC ( KWA GARI YA TURBO) NA weka oil ya 0W20 synthetic kwa gari ISIYO NA TURBO gari isio ya pua kwenye bonet.

Wakasema kama hauta pata hizoo oil tafuta convensional oil yoyote ya 5w30 au 5w40 ila consider kurudi kwenye recomended oil next service,... (uchawi ndo uko hapo tu mzee wangu) na hizi oil walizo recommend ni bei.. lita tano laki mpaka laki na nusu, inategemea umenunua wapi...

Wabongo sisi pamoja na mafundi wetu hatupendi kusoma. Unakuta mtu anakandamiza oil ya Castor GTX 20w50 heavy oil for high mileage cars kwenye gari ya turbo, au anaweka 10w40 mineral oil na siyo FULLY SYNTHETIC, then gari ikianza ku smoke, na ukaua turbo unaanza kuzitukana gari za turbo unaenda mbali mpaka kuitukana brand ya gari. HANDLING YA TURBO SIO KITU CHA MCHEZO kama una endesha IST unawasha na kuondoka.

Handling ya turbo ni tofauti na gari isiyo ya turbo.. na sio jambo rahisi, gari ikiwa imepoa COLD start.. labda asubuhi unawasha usepe unatakiwa uwashe gari iwe silence for 7-10 minutes ili kuruhusu oil temp kwenda kwenye required level na pande mpaka kwenye turbo charger ndio uondoke, and the same wakati umetoka mizunguko usizime gari yako instantly ..iache silent for 7-10 minutes ili oil ishuke kwenye oil reservoirs ndio uzime gari. Ukizima gari pale pale oil inabaki kwenye turbo, na turbo huwa inakuaga ya moto sana ukiwa unatembea/ ikiwa inafanya kazi, na ndio mana ina condenser yake seperate pale juu ili kuruhusu kuji pooza ndo maana ya ile pua kwenye bonet.. sasa wahuni wanaonaga eti ile pua ni show tu kudaadeki.... oil ikibaki kwenye turbo inaungua na kutengeneza moshi --carbonized turbo, ambayo with time moshi unaua turbo charger, ikifa hiyo gari inaanza kuchoma sana oil na offcoz itapoteza nguvu yake.. some things will get wrong mpaka driveability ya gari ita kua sio ulio izoea. Practice hizi wabongo hatuwezi ndo mana gari hizi zinatushinda bro...

Sifa zingine za gari ni nyingi tuu siwez mention zote ... space kubwa, head speace kubwa zaidi ila wamezingua sana hapo mtu ukikaa kwenye forester unakua umetumbukia kama kwenye mtumbwi..gari ina symetric all wheel drive nguvu ya torque kwenye diff zote gari hainasi kwene mchanga wala tope, we unatoboa maeneo yote mpaka watu wanakushangaa umefikaje.. kama unakaa ukanda wa Mbezi ya Kimara na Kinyerezi hii gari itakufaa sana kwenye "mabonde kwinama" huko... Bado Forester wakakupa na additional option ya traction control, this is non slip...Halafu tena kuna kitu inaitwa ESC (electronic stabilty control) ipo kwenye version zote XS na XT hii maana yake ni kama ukikunja kona ya ghafla upo kwenye higher speed gari isianguke uka roll kama umepigwa pit-maneuver, ni one of the safety measures ambazo sio rahis mtu kuzielewa kwa haraka haraka.

Nunua hii gari isome vizuri sana itumie utadumu nayo miaka nenda rudi. Gari ikitaka service ipe usiseme nisubiri mwisho wa mwez au useme kwamba i know my car. kwa leo nina hayo tu bwana nisiwachoshe.. ila ni bonge la gari huwez fananisha na tako la nyani ambayo ni kubwa jinga..yani ukubwa wote ule gari haina 4WHEEL na ina cc 2400... jau

Nitakuja tena na uzi wa kutofautisha XT na XS huko mbeleni after studies.. japo kua mpaka sasa XS na XT zinatofautiana steering types XS ni Hydraulic na hii ikizingua inakuaga ngumu kama jiwe.. While XT ni Electronic sio ya Hydraulic so hautapata matatizo kwenye ugumu wa usukani.. OVa Ova boss nimetosheka kwa leo
 
Champagnee

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
5,956
2,000

Mode za sport na sport shap hizo sasa uwe highway unataka mbio zako uzione.... engage hizo mode throttle ita funguka sana kuruhusu hewa iende kwenye combustion chamber na piston zitazunguka zaidi lakini hapa wese litatumika sana but, out put yako ya mwendo ( ma mbio) kwenye overtaking, kupanda milima kwa kasi utaiona, hasa ukiwa na support ya turbo, basi hapo ndo wale unao ongozana nao hawata acha kuona kila aina ya rangi mbele yako............brooo hakukamati mtu nakwambia.

Pia gari hii weka tairi yake inayotakiwa ya 225/55/17 mzungu sio mjinga kukwambia hiyo.. angalia kwenye mlango wa dereva pemben usawa wa mbavu zako.... Wabongo sasa wanabadili Miguu na rimu, mtu kwa sifa zake za show off anakuwekea wide rim na tairi mpaaka 305 rim 18 wanaweka.. gari inakua pana kama chatu mwenye hasira .. sasa kwann isikulie wese? sisi hatuna mahesabu...

Thirdly.. hii gari engine yake ni very notorious linapokuja suala la maintanance na service, kwanza inatakiwa udownload english manual ya Subaru XT na XS (section 12-2 specification zipo pale wamesema) Hii manual uwe nayo uisome,, wazungu sio sawa na mafundi wetu wa huku mwisho wa dunia, wale jamaa wamekuambia hadi aina ya coolant ya kutumia, aina ya Engine oil wamekwambia weka 5W30 FULLY SYNTHETIC ( KWA GARI YA TURBO) NA weka oil ya 0W20 synthetic kwa gari ISIYO NA TURBO gari isio ya pua kwenye bonet.

Wakasema kama hauta pata hizoo oil tafuta convensional oil yoyote ya 5w30 au 5w40 ila consider kurudi kwenye recomended oil next service, ( uchawi ndo uko hapo tu mzee wangu) na hizi oil walizo recommend ni bei.. lita tano laki mpaka laki na nusu, inategemea umenunua wapi...

Wabongo sisi pamoja na mafundi wetu hatupendi kusoma. Unakuta mtu anakandamiza oil ya Castor GTX 20w50 heavy oil for high mileage cars kwenye gari ya turbo, au anaweka 10w40 mineral oil na siyo FULLY SYNTHETIC, then gari ikianza ku smoke, na ukaua turbo unaanza kuzitukana gari za turbo unaenda mbali mpaka kuitukana brand ya gari. HANDLING YA TURBO SIO KITU CHA MCHEZO kama una endesha IST unawasha na kuondoka.

Handling ya turbo ni tofauti na gari isiyo ya turbo.. na sio jambo rahisi, gari ikiwa imepoa COLD start.. labda asubuhi unawasha usepe unatakiwa uwashe gari iwe silence for 7-10 minutes ili kuruhusu oil temp kwenda kwenye required level na pande mpaka kwenye turbo charger ndio uondoke, and the same wakati umetoka mizunguko usizime gari yako instantly ..iache silent for 7-10 minutes ili oil ishuke kwenye oil reservoirs ndio uzime gari. Ukizima gari pale pale oil inabaki kwenye turbo, na turbo huwa inakuaga ya moto sana ukiwa unatembea/ ikiwa inafanya kazi, na ndio mana ina condenser yake seperate pale juu ili kuruhusu kuji pooza ndo maana ya ile pua kwenye bonet.. sasa wahuni wanaonaga eti ile pua ni show tu kudaadeki.... oil ikibaki kwenye turbo inaungua na kutengeneza moshi --carbonized turbo, ambayo with time moshi unaua turbo charger, ikifa hiyo gari inaanza kuchoma sana oil na offcoz itapoteza nguvu yake.. some things will get wrong mpaka driveability ya gari ita kua sio ulio izoea. Practice hizi wabongo hatuwezi ndo mana gari hizi zinatushinda bro...

Sifa zingine za gari ni nyingi tuu siwez mention zote ... space kubwa, head speace kubwa zaidi ila wamezingua sana hapo mtu ukikaa kwenye forester unakua umetumbukia kama kwenye mtumbwi..gari ina symetric all wheel drive guvu ya torque kwenye diff zote gari hainasi kwene mchanga wala tope, wakakupa na additional ya traction control.. ila kuna kitu inaitwa ESC (electrinic stabilty control) humu imo ukikunja kona ya ghafla kwnye higher speed gari isianguke uka roll kama umepigwa pit-maneuver.

Nunua hii gari isome vizuri sana itumie utadumu nayo miaka nenda rudi. Gari ikitaka service ipe usiseme nisubiri mwisho wa mwez au useme kwamba i know my car. kwa leo nina hayo tu bwana nisiwachoshe.. ila ni bonge la gari huwez fananisha na tako la nyani ambayo na ukubwa jinga wote ule gari haina 4WHEEL na ina cc 2400.

Ahsante sana mkuu, umeelezea vzr sana. Bado natafiti kati ya subaru xt au Mitsubishi Outlander new model
 
mi_mdau

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
707
500
SUBARU XT 2011. EJ20

Naimiliki hii gari kwa muda sio mrefu sana ila wacha ni "shee" experience yangu

Hii ni gari nzuri sana based on multiple factors kama high ground clearance hapa huna haja ya kuweka specers, pili wanao sema gari hii ukifika speed 120 inapepea ni waongo na washabiki hewa, hii gari iko stable sana barabarani ukizingatia engine yake ni boxer engine na ina HP kubwa tu 230ps(169kW)/5600rpm piston zinapiga horizontal hivo gari ila kua more stable kuliko kawaida na ina uzito tani moja na nusu utasemaje ina pepea?

Hii gari ina SI drive.. ni option tatu kuna knob button pale kati unachagua mode unayotaka. Ukiwa na mizunguko ya mjini hapa huhitaji multiple revs bonyeza inteligent drive inakupeleka ECO mode throttle ina funguka kidogo, wese hutumii sana utaona consuption yako ya mafuta haipishani sana na mwenye gari ya cc1500-1700 (weka hii mode tembelea gari then track matumizi yako ya mafuta utakuja niamini).

Mode za sport na sport shap hizo sasa uwe highway unataka mbio zako uzione.... engage hizo mode throttle ita funguka sana kuruhusu hewa iende kwenye combustion chamber na piston zitazunguka zaidi lakini hapa wese litatumika sana but, out put yako ya mwendo ( ma mbio) kwenye overtaking, kupanda milima kwa kasi utaiona, hasa ukiwa na support ya turbo, basi hapo ndo wale unao ongozana nao hawata acha kuona kila aina ya rangi mbele yako............brooo hakukamati mtu nakwambia.

Pia gari hii weka tairi yake inayotakiwa ya 225/55/17 mzungu sio mjinga kukwambia hiyo.. angalia kwenye mlango wa dereva pemben usawa wa mbavu zako amekuandikia.... Wabongo sasa wanabadili Miguu na rimu, mtu kwa sifa zake za show off anakuwekea wide rim na tairi mpaaka 305 rim 18 wanaweka.. gari inakua pana kama chatu mwenye hasira .. sasa kwann isikulie wese? sisi hatuna mahesabu...

Thirdly.. hii gari engine yake ni very notorious linapokuja suala la maintanance na service, kwanza inatakiwa udownload english manual ya Subaru XT na XS (section 12-2 specification zipo pale wamesema) Hii manual uwe nayo uisome,, wazungu sio sawa na mafundi wetu wa huku mwisho wa dunia, wale jamaa wamekuambia hadi aina ya coolant ya kutumia, aina ya Engine oil wamekwambia weka 5W30 FULLY SYNTHETIC ( KWA GARI YA TURBO) NA weka oil ya 0W20 synthetic kwa gari ISIYO NA TURBO gari isio ya pua kwenye bonet.

Wakasema kama hauta pata hizoo oil tafuta convensional oil yoyote ya 5w30 au 5w40 ila consider kurudi kwenye recomended oil next service,... (uchawi ndo uko hapo tu mzee wangu) na hizi oil walizo recommend ni bei.. lita tano laki mpaka laki na nusu, inategemea umenunua wapi...

Wabongo sisi pamoja na mafundi wetu hatupendi kusoma. Unakuta mtu anakandamiza oil ya Castor GTX 20w50 heavy oil for high mileage cars kwenye gari ya turbo, au anaweka 10w40 mineral oil na siyo FULLY SYNTHETIC, then gari ikianza ku smoke, na ukaua turbo unaanza kuzitukana gari za turbo unaenda mbali mpaka kuitukana brand ya gari. HANDLING YA TURBO SIO KITU CHA MCHEZO kama una endesha IST unawasha na kuondoka.

Handling ya turbo ni tofauti na gari isiyo ya turbo.. na sio jambo rahisi, gari ikiwa imepoa COLD start.. labda asubuhi unawasha usepe unatakiwa uwashe gari iwe silence for 7-10 minutes ili kuruhusu oil temp kwenda kwenye required level na pande mpaka kwenye turbo charger ndio uondoke, and the same wakati umetoka mizunguko usizime gari yako instantly ..iache silent for 7-10 minutes ili oil ishuke kwenye oil reservoirs ndio uzime gari. Ukizima gari pale pale oil inabaki kwenye turbo, na turbo huwa inakuaga ya moto sana ukiwa unatembea/ ikiwa inafanya kazi, na ndio mana ina condenser yake seperate pale juu ili kuruhusu kuji pooza ndo maana ya ile pua kwenye bonet.. sasa wahuni wanaonaga eti ile pua ni show tu kudaadeki.... oil ikibaki kwenye turbo inaungua na kutengeneza moshi --carbonized turbo, ambayo with time moshi unaua turbo charger, ikifa hiyo gari inaanza kuchoma sana oil na offcoz itapoteza nguvu yake.. some things will get wrong mpaka driveability ya gari ita kua sio ulio izoea. Practice hizi wabongo hatuwezi ndo mana gari hizi zinatushinda bro...

Sifa zingine za gari ni nyingi tuu siwez mention zote ... space kubwa, head speace kubwa zaidi ila wamezingua sana hapo mtu ukikaa kwenye forester unakua umetumbukia kama kwenye mtumbwi..gari ina symetric all wheel drive nguvu ya torque kwenye diff zote gari hainasi kwene mchanga wala tope, we unatoboa maeneo yote mpaka watu wanakushangaa umefikaje.. kama unakaa ukanda wa Mbezi ya Kimara na Kinyerezi hii gari itakufaa sana kwenye "mabonde kwinama" huko... Bado Forester wakakupa na additional option ya traction control, this is non slip...Halafu tena kuna kitu inaitwa ESC (electronic stabilty control) ipo kwenye version zote XS na XT hii maana yake ni kama ukikunja kona ya ghafla upo kwenye higher speed gari isianguke uka roll kama umepigwa pit-maneuver, ni one of the safety measures ambazo sio rahis mtu kuzielewa kwa haraka haraka.

Nunua hii gari isome vizuri sana itumie utadumu nayo miaka nenda rudi. Gari ikitaka service ipe usiseme nisubiri mwisho wa mwez au useme kwamba i know my car. kwa leo nina hayo tu bwana nisiwachoshe.. ila ni bonge la gari huwez fananisha na tako la nyani ambayo ni kubwa jinga..yani ukubwa wote ule gari haina 4WHEEL na ina cc 2400... jau

Nitakuja tena na uzi wa kutofautisha XT na XS huko mbeleni after studies.. japo kua mpaka sasa XS na XT zinatofautiana steering types XS ni Hydraulic na hii ikizingua inakuaga ngumu kama jiwe.. While XT ni Electronic sio ya Hydraulic so hautapata matatizo kwenye ugumu wa usukani.. OVa Ova boss nimetosheka kwa leo

Uneongea vizuri sana, i love this car (XT Model ya 2009 - 2011)
 
kapolo

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
297
225
SUBARU XT 2011. EJ20

Naimiliki hii gari kwa muda sio mrefu sana ila wacha ni "shee" experience yangu

Hii ni gari nzuri sana based on multiple factors kama high ground clearance hapa huna haja ya kuweka specers, pili wanao sema gari hii ukifika speed 120 inapepea ni waongo na washabiki hewa, hii gari iko stable sana barabarani ukizingatia engine yake ni boxer engine na ina HP kubwa tu 230ps(169kW)/5600rpm piston zinapiga horizontal hivo gari ila kua more stable kuliko kawaida na ina uzito tani moja na nusu utasemaje ina pepea?

Hii gari ina SI drive.. ni option tatu kuna knob button pale kati unachagua mode unayotaka. Ukiwa na mizunguko ya mjini hapa huhitaji multiple revs bonyeza inteligent drive inakupeleka ECO mode throttle ina funguka kidogo, wese hutumii sana utaona consuption yako ya mafuta haipishani sana na mwenye gari ya cc1500-1700 (weka hii mode tembelea gari then track matumizi yako ya mafuta utakuja niamini).

Mode za sport na sport shap hizo sasa uwe highway unataka mbio zako uzione.... engage hizo mode throttle ita funguka sana kuruhusu hewa iende kwenye combustion chamber na piston zitazunguka zaidi lakini hapa wese litatumika sana but, out put yako ya mwendo ( ma mbio) kwenye overtaking, kupanda milima kwa kasi utaiona, hasa ukiwa na support ya turbo, basi hapo ndo wale unao ongozana nao hawata acha kuona kila aina ya rangi mbele yao............brooo hakukamati mtu nakwambia.

Pia gari hii weka tairi yake inayotakiwa ya 225/55/17 mzungu sio mjinga kukwambia hiyo.. angalia kwenye mlango wa dereva pemben usawa wa mbavu zako amekuandikia.... Wabongo sasa wanabadili Miguu na rimu, mtu kwa sifa zake za show off anakuwekea wide rim na tairi mpaaka 305 rim 18 wanaweka.. gari inakua pana kama chatu mwenye hasira .. sasa kwann isikulie wese? sisi hatuna mahesabu...

Thirdly.. hii gari engine yake ni very notorious linapokuja suala la maintanance na service, kwanza inatakiwa udownload english manual ya Subaru XT na XS (section 12-2 specification zipo pale wamesema) Hii manual uwe nayo uisome,, wazungu sio sawa na mafundi wetu wa huku mwisho wa dunia, wale jamaa wamekuambia hadi aina ya coolant ya kutumia, aina ya Engine oil wamekwambia weka 5W30 FULLY SYNTHETIC ( KWA GARI YA TURBO) NA weka oil ya 0W20 synthetic kwa gari ISIYO NA TURBO gari isio ya pua kwenye bonet.

Wakasema kama hauta pata hizoo oil tafuta convensional oil yoyote ya 5w30 au 5w40 ila consider kurudi kwenye recomended oil next service,... (uchawi ndo uko hapo tu mzee wangu) na hizi oil walizo recommend ni bei.. lita tano laki mpaka laki na nusu, inategemea umenunua wapi...

Wabongo sisi pamoja na mafundi wetu hatupendi kusoma. Unakuta mtu anakandamiza oil ya Castor GTX 20w50 heavy oil for high mileage cars kwenye gari ya turbo, au anaweka 10w40 mineral oil na siyo FULLY SYNTHETIC, then gari ikianza ku smoke, na ukaua turbo unaanza kuzitukana gari za turbo unaenda mbali mpaka kuitukana brand ya gari. HANDLING YA TURBO SIO KITU CHA MCHEZO kama una endesha IST unawasha na kuondoka.

Handling ya turbo ni tofauti na gari isiyo ya turbo.. na sio jambo rahisi, gari ikiwa imepoa COLD start.. labda asubuhi unawasha usepe unatakiwa uwashe gari iwe silence for 7-10 minutes ili kuruhusu oil temp kwenda kwenye required level na pande mpaka kwenye turbo charger ndio uondoke, and the same wakati umetoka mizunguko usizime gari yako instantly ..iache silent for 7-10 minutes ili oil ishuke kwenye oil reservoirs ndio uzime gari. Ukizima gari pale pale oil inabaki kwenye turbo, na turbo huwa inakuaga ya moto sana ukiwa unatembea/ ikiwa inafanya kazi, na ndio mana ina condenser yake seperate pale juu ili kuruhusu kuji pooza ndo maana ya ile pua kwenye bonet.. sasa wahuni wanaonaga eti ile pua ni show tu kudaadeki.... oil ikibaki kwenye turbo inaungua na kutengeneza moshi --carbonized turbo, ambayo with time moshi unaua turbo charger, ikifa hiyo gari inaanza kuchoma sana oil na offcoz itapoteza nguvu yake.. some things will get wrong mpaka driveability ya gari ita kua sio ulio izoea. Practice hizi wabongo hatuwezi ndo mana gari hizi zinatushinda bro...

Sifa zingine za gari ni nyingi tuu siwez mention zote ... space kubwa, head speace kubwa zaidi ila wamezingua sana hapo mtu ukikaa kwenye forester unakua umetumbukia kama kwenye mtumbwi..gari ina symetric all wheel drive nguvu ya torque kwenye diff zote gari hainasi kwene mchanga wala tope, we unatoboa maeneo yote mpaka watu wanakushangaa umefikaje.. kama unakaa ukanda wa Mbezi ya Kimara na Kinyerezi hii gari itakufaa sana kwenye "mabonde kwinama" huko... Bado Forester wakakupa na additional option ya traction control, this is non slip...Halafu tena kuna kitu inaitwa ESC (electronic stabilty control) ipo kwenye version zote XS na XT hii maana yake ni kama ukikunja kona ya ghafla upo kwenye higher speed gari isianguke uka roll kama umepigwa pit-maneuver, ni one of the safety measures ambazo sio rahis mtu kuzielewa kwa haraka haraka.

Nunua hii gari isome vizuri sana itumie utadumu nayo miaka nenda rudi. Gari ikitaka service ipe usiseme nisubiri mwisho wa mwez au useme kwamba i know my car. kwa leo nina hayo tu bwana nisiwachoshe.. ila ni bonge la gari huwez fananisha na tako la nyani ambayo ni kubwa jinga..yani ukubwa wote ule gari haina 4WHEEL na ina cc 2400... jau

Nitakuja tena na uzi wa kutofautisha XT na XS huko mbeleni after studies.. japo kua mpaka sasa XS na XT zinatofautiana steering types XS ni Hydraulic na hii ikizingua inakuaga ngumu kama jiwe.. While XT ni Electronic sio ya Hydraulic so hautapata matatizo kwenye ugumu wa usukani.. OVa Ova boss nimetosheka kwa leo

Good insight.

Ila somo la Oil kila mtu naonaga ana maoni tofauti. Mfano mimi nina SG5 turbo na natumia Castro GTX 10W40 zaidi ya mwaka sasa na Dude linadunda kama kawa.

Nakubaliana na wewe kwenye uwashaji na uzimaji wa Gari ya turbo, ndo maana JAMAA wanakuwekea turbo timer.
 
byakunu

Senior Member
Sep 13, 2016
161
500
Good insight.

Ila somo la Oil kila mtu naonaga ana maoni tofauti. Mfano mimi nina SG5 turbo na natumia Castro GTX 10W40 zaidi ya mwaka sasa na Dude linadunda kama kawa.

Nakubaliana na wewe kwenye uwashaji na uzimaji wa Gari ya turbo, ndo maana JAMAA wanakuwekea turbo timer.
Sawa mkuu ila nakushauri tu kama ni mdau wa Castro tumia Castrol EDGE fully sythetic 5W30.. ina kopo la Gold,.. utaona gari imebadilika mpaka mlio wa engine na inakua nyepesi zaidi., na service interval yake ni kilometa elfu 7 hadi 10 ...Ukiitumia Uje kutupa feeback.

Pia soma sana Manual ya Subaru uielewe. Hawa mafundi wetu na wauza oil wetu hawaelewi...Mtu anakwambia Dar kuna joto sana weka Oil nzito ili gari ikipata moto oil inalainika, Ukiweka laini ya 5W30 oil inakua kama maji..atakwambia na viscosity kubwa na ndogo stori ni nyingi hao achana nao.. we fanya kitu ambacho mwenye gari amekwambia kwa maandishi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom