Tetesi: Naomba njia mbandala kwenda chuo chà serikali afya nimetemwa nacte

Mkuu dogo anasema anashindwa namna ya kuomba awamu ya 3, afanyeje?atumie account nyingine ama?Maana ni kama jina lake tayar linaonekana chuo fulani.Au kama kuna namna ya kubadili kozi mwongozo please.


Anatumia ileile account...akipata awamu ya tatu,jina lake litaonekana kwenye multiple ,then atapiga chini SUA , huyo hata kataliwa kuchaguliwa kisa ashapata...aondoe hofu
 
Back
Top Bottom