Naomba niwaambie ukweli Dada zangu japo mchungu

Pure_sapiens

JF-Expert Member
Dec 25, 2016
2,197
2,024
Habari zenu bandugu na jamaa.Leo kachero wenu nataka niteme cheche kwa dada zetu wa humu jf na wengine wengi ujumbe huu uwafikie.Ujumbe wangu uta ambana na picha ili kuonyesha hali halisi pia kuondoa kile kilio cha baadhi ya member wanaodai picha.

Uzuri wa mwanamke ni kama fashion za mavazi tu.Nazani nyote mtakubaliana na mimi kuwa miaka ya zamani uzuri wa mwanamke ulikuwa tabia njema.Yaani malezi aliyolelewa nyumbani na wazazi wake yalimjenga binti kuwa mwenye hekima busara na heahima.Kipindi hicho ni kipindi ambacho mavazi haya yalitamba sana
images_13.jpeg
.Miaka ile ukitaka mchumba kigezo nambari one kilikuwa tabia njema.Lakini kipindi hiki kimeshapita.
Kuna miaka flani uzuri wa mwanamke ulikuwa ni sura nzuri,yaani kama mwanamke ana sura nzuri basi kitaa kizima atakuwa talk of the town.Huko schools ndo usiseme kila kijana anatamtongoza au kumshobokea.Wasichana wazuri(reception) walikuwa dili sanayaani mwanaume aki date na msichana huyo basi anaitwa kila aina ya majina.Lakini muda si rafiki tena kipindi hiki kilishapita.

Zama hizi sasa.Mwanamke akose vyote lakini akiwa na chura tu kwisha kazi.Mwanamke hata akiwa mbaya wa sura kama chura ipo basi ataringa balaa.
IMG_20171028_191447.jpeg
Niwe tu mkweli hapa kama mwanamke hana chura ataishia kwenda kwa waganga kusaka dawa ya kutongozwa.Wanaume now days macho yao yapo behind tunaangalia mzigo kama upo.
IMG_20171028_191458.jpeg
mzigo kama huu unaachage kugeuka kwa mfano.Chura ndo habari ya town kwa miaka hii japo ikuja pita tu kama zilivyopita nyingine.
Na huko mitaani kuna misemo kama hii"mwanamke chura sura hata mbuzi anayo"kwenye mitandao huko ndo kuna vita kali yaani wanawake wanashindana kuonyesha chura balaa
IMG_20171028_191431.jpeg
IMG_20171028_191418.jpeg
IMG_20171028_191512.jpeg
.
Kama mwanamke hana chura basi awe mpole asubiri zama zake zinakuja.Bye
 
Sio kila mwanaume anapenda chura.. Mm ni mmoja wapo . mwananke mwenye chura huwa sina mzuka Naye, napenda sana wembamba na awe flat au kawaida ..
 
kaka nmeshalala na wasichana zaid ya 600, hakika matako makubwa sio kuish nayo ndani ya nyumba, baba pata mtoto mwenye afya ya kawaida na tuwezere twa wastani weeeeee, utakojoa mara nane nanee ila hayo mafukunyuku kwakweli yana kelo yakee , nawasiilisha
naungana na ww asilimia 100 chura jamn ni njee tuu ndani hakuna kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom