Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,197
- 2,024
Habari zenu bandugu na jamaa.Leo kachero wenu nataka niteme cheche kwa dada zetu wa humu jf na wengine wengi ujumbe huu uwafikie.Ujumbe wangu uta ambana na picha ili kuonyesha hali halisi pia kuondoa kile kilio cha baadhi ya member wanaodai picha.
Uzuri wa mwanamke ni kama fashion za mavazi tu.Nazani nyote mtakubaliana na mimi kuwa miaka ya zamani uzuri wa mwanamke ulikuwa tabia njema.Yaani malezi aliyolelewa nyumbani na wazazi wake yalimjenga binti kuwa mwenye hekima busara na heahima.Kipindi hicho ni kipindi ambacho mavazi haya yalitamba sana
.Miaka ile ukitaka mchumba kigezo nambari one kilikuwa tabia njema.Lakini kipindi hiki kimeshapita.
Kuna miaka flani uzuri wa mwanamke ulikuwa ni sura nzuri,yaani kama mwanamke ana sura nzuri basi kitaa kizima atakuwa talk of the town.Huko schools ndo usiseme kila kijana anatamtongoza au kumshobokea.Wasichana wazuri(reception) walikuwa dili sanayaani mwanaume aki date na msichana huyo basi anaitwa kila aina ya majina.Lakini muda si rafiki tena kipindi hiki kilishapita.
Zama hizi sasa.Mwanamke akose vyote lakini akiwa na chura tu kwisha kazi.Mwanamke hata akiwa mbaya wa sura kama chura ipo basi ataringa balaa.
Niwe tu mkweli hapa kama mwanamke hana chura ataishia kwenda kwa waganga kusaka dawa ya kutongozwa.Wanaume now days macho yao yapo behind tunaangalia mzigo kama upo.
mzigo kama huu unaachage kugeuka kwa mfano.Chura ndo habari ya town kwa miaka hii japo ikuja pita tu kama zilivyopita nyingine.
Na huko mitaani kuna misemo kama hii"mwanamke chura sura hata mbuzi anayo"kwenye mitandao huko ndo kuna vita kali yaani wanawake wanashindana kuonyesha chura balaa
.
Kama mwanamke hana chura basi awe mpole asubiri zama zake zinakuja.Bye