Naomba nisaidiwe tatizo hili la voice Note za WhatsApp

edger jairos

JF-Expert Member
Apr 17, 2017
328
225
Jama habarini

My watsap voice note zina voice kama vikatuni au makolokocho hivi.

Naomba kuelekezwa Namna ya kuset njia Zote ili iludi kama mtu anavoongeakawaida.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom