Habar wakuu,

Naomba mwongozo.Hivi karibun ajira portal wamenitumia email kunitaka nifanye update ya CV yangu. Nikaanza mchakato huo.Ila kuna kipengele kimeniacha hoi cha kuweka uzoefu,jina la supervisor na namba yake. Pia kituo nilichopatia huo uzoefu, kiufup ni mengi.
Nipo kada ya elimu(mwalimu),wakat ulipita tulipoaply, vipengele hivyo pia vilikuepo. Kinachonishangaza ni namna vimeachwa kama sehem ya kudum ya aplication form.

Swali:Kwa wale ambao hawajajitolea ,hivyo hawana cha kujaza kwenye uzoefu, watapata nafas kweli ya ajira za ualimu miaka hii?

Tupeane uzoefu wakuu.
 
Habar wakuu,naomba mwongozo.Hivi karibun ajira portal wamenitumia email kunitaka nifanye update ya CV yangu..
Nikaanza mchakato huo.Ila kuna kipengele kimeniacha hoi cha kuweka uzoefu,jina la supervisor na namba yake.Pia kituo nilichopatia huo uzoefu,kiufup ni mengi.
Nipo kada ya elimu(mwalimu),wakat ulipita tulipoaply,vipengele hivyo pia vilikuepo.Kinachonishangaza ni namna vimeachwa kama sehem ya kudum ya aplication form.
Swali:Kwa wale ambao hawajajitolea ,hivyo hawana cha kujaza kwenye uzoefu,watapata nafas kweli ya ajira za ualimu miaka hii?
Tupeane uzoefu wakuu.
Walimu mambo yao ya ajira yanashughulikiwa na TAMISEMI na sio Ajira Portal
 
Mambo ndio kama hivi, hadi siku ya leo sekta nyingi zipo tupu, si afya si elimu.

Pic_1632384121335.jpg
Pic_1632384169639.jpg
 
Mkuu unaumiza kichwa na hao Jamaa nafasi moja wanaita watu 800. Angalia walioitwa kufanya usaili TRC.
 
naombeni msaada hii portal ili niweze kuapply natakuwa kuwa nimefikia asilimia walau 70% sasaa mi nimejaza kila kipengere baso niko asilimia 55% naweza kuwa nimekosea nn? Nisaidienii wadau.
 
Back
Top Bottom