Naomba nisaidiwe jamani mimi sina utaalamu na lift za ghorofa

6bf2ceefbdfb22cec2fb22fad09c8ba3.jpg
Kwa ufundishaji wako umenivutia sana maana umeendana na mifano halisi. Ahsante sana kwa uelimashaji wako
 
KWA WALE WANAOHOFIA RIFT KUKWAMA LABDA KWASABABU YA KUKATIKA KWA UMEME,WASIOGOPE,RIFT ZA KISASA ZINA BETRI YA ZIADA INAYOHIFADHI UMEME ,UWAPO UMEME UMEKATIKA UTAONA IMESIMAMA GAFLA LABDA KTKT ,UCHOTAKIWA KUFANYA WEWE TULIA TU,BAADA YA DAKIKA KAMA 2,UTAONA INASHUKA TALATIIBU HADI KWENYE REVO YA MLANGO NA MLANGO UTAFUNGUKA MALAMOJA ,HAPO UNATAKIWA UTOKE HATAKAMA HUJAFIKA KWENYE FLOOR UNAYOTAMANI KWENDA,NA HATAKAMA BETRI YAKE IMEKUFA NA BAHATI NZURI IPO KWENYE REVO YA MLANGO ,PIA USIOGOPE ,UKIWA NDANI KAMATA KTKT YA MLANGO PANDE ZOTE MBILI NA UISUKUKUME KWA KUIACHANISHA LOKI ZAKE ZITAFANYA ZIFUNGUE NA MLANGO WA NJE UNATOKA,UKISHINDWA VYOTE BONYEZEZS KITUFE CHENYE ALAMA YA KENGERE,UTAKUJA KUSAIDIWA.
 
Ukifka mlangoni kabla haijaja bonyeza kitufe kinachoonesha unakokwenda kwa maana ya juu au chini,ikifika itafunguka utaingia ,ukiingia bonyeza namba ya ghorofa unakoenda itafunha utaondoka,ikifka kila ghorofa ambako wameeita au wana shuka itasimaa,watashuka au kupanda halafu itafunga itaondoka mpaka ukifika uendako iatasimaa itafunguka utashuka.
Mkuu umetoa somo lakini maelezo yako yanajenga swali.
Kama itakuwa inasimama na kifunguka kabla ya ghorofa uliyokomandi, ni kiashiria gani kitakachoonesha kuwa ghoroga ulilolilenga wewe haujafika?
 
mi nakumbuka siku ya kwanza nlikua sijui ni wapi pakuanzia...nikagonga hodi kwenye ule mlango wa lift ukafunguka..hapo ndani sasa dah nilikoma siku hiyo
 
Kitufe cha upande unaoelekea ni muhimu ili kuepusha usumbufu,kama unaenda juu bonye kinachoelekeza juu na kama unaenda chini bonyeza cha kuelekea chini.
Hii ni kwasababu,kama upo floor ya 3 mfano wewe unataka kwenda floor za chini wakati rift ipo chini na ukibonyeza kitufe cha juu wakati kunawatu tayari wanaenda itakachofanya ikifika ulipo itasimama na utaingia sasa baada ya kukupeleka chini ,itakukupandisha juu kwanza kuwafikisha wale waliomo ndani ,halo utakua umewasumbua wale na wewe mwenyewe .lakini kama ungebonyeza cha kwenda chini ikifika ulipo itapita kwanza kuwapeleka,kalafu ndio ikuludie ikupeleke chini, kwahiyo,il I kuepusha usumbufu huu ukifika mbele ya rift kama unaelekea juu bonyeza kitufe cha juu na kama unaelekea chini bonyeza kitufe cha chini.
Splendid!
 
Mkuu umetoa somo lakini maelezo yako yanajenga swali.
Kama itakuwa inasimama na kifunguka kabla ya ghorofa uliyokomandi, ni kiashiria gani kitakachoonesha kuwa ghoroga ulilolilenga wewe haujafika?
Kila ukifika gorofa flan namba yake inaindicate,hivyo namba yako haijawaka basi hujafika had itakapowaka.
 
Kila siku uwe unapanda utajua tu mi mwenyewe wakati naanza kutumia nilikuwa nashinda humo kukiwa hamna mtu nafanya mazoezi ya kutosha
 
Hii tabia ya kubeza watu wanaokuja huku kuomba msaada wa jambo fulani.....unaifanya JF uonekane ni kijiwe cha wahuni na wavuta bangi..........

Kama huna ufahamu na jambo lililoulizwa kwani ukikaa kimya utapungukiwa na nini...!!!?


Kwanini usingoje watu wengine wenye weledi wa jambo hilo wakatoa michango yao na wewe ukaelimika kupitia humo.........

Kwanini unaona ni sawa kumbeza mtu ambaye amekuja kuomba msaada........!!!?


Tuilinde heshima ya JF kwa kutenda kama watu wenye akili timamu
 
Back
Top Bottom