Naomba nipimwe IQ yangu humu ndani Nina hisi nina akili lakini sijui kuzitumia

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Nov 30, 2016
1,587
1,136
Wakuu Habarini Za jioni poleni kwa changamoto za hapa na pale niende moja kwa moja kwenye Mada :...

Nimemaliza chuo mwaka Jana fani ya education art, sikuwai kukutana na SUP wala carry.

Balaa lipo huku mtaani nimekuja nimeanzisha vibiashara kabla ya kusaka ajira hata private schools lakini kwa Sasa nilipofikia nawiwa kusaka ajira ili kupanua wigo wa pesa.

Najiuliza kwanini nashindwa Ku adjust maisha huku mtaani? Kama nilivyopasua kule chuoni? Hapa nimepanga kwa wazazi nishatoka saiv nipo najitegemea.
Naomba mnipime IQ yangu kutokana na maelezo yangu hapo.
 
is a life skills IQ?
 
Tumia miaka mitano kupata shahada ya mtaa kwanza ndio tutajua kama una IQ kubwa ama ya kimange
 
Unahisi una akili lakini huwezi kuzitumia?. 1 unapaswa ujue kati ya elimu na pesa utachagua nini! 2 asilimia kubwa ya matajiri hawana elimu kubwa. 3 hakuna profesa tajiri. 4 hayati mengi alianza biashara akiwa na miaka 47!. 5 mengi ameoa akiwa na miaka ........ 6 mengi na miaka yake 77 hana mjukuu. 7 kuwa na furaha sio kuwa na pesa ama magorofa. More money more problem. Umeelewa?
 
Sasa mkuu how can I solve my problems? Namaanisha nahitaji kuvaa Sina ela nahitaji kula vizuri nk kama Sina pesa?
 
Back
Top Bottom