Thanks mkuu nimetest ndio mlemle hahahahaha mjapan ni kwikwi..Kushusha na kupandisha kale ka antenna kadogo kanakuwa na kataa kwa juu. Kanakuwaga mbele ya gari kwa kushoto
Ukiweka auto kanakuwa kanapanda na kushuka ukiwasha na kuzima gari kenyewe
Duh hiyo up auto nilijua ndio gari inapaa kuelekea juu😂Ukiweka hiyo UP AUTO basi wewe dereva unauchapa kabisa na usingizi,ukija kuamka unakuta Gari imesha kufikisha uendako.
Ni gari ya aina gani? Si kila gari ina hiyo buttonWakuu kuna hii button IPO kwa upande wa chini pembeni kidogo ya steering, matumizi yake ni yapi tafadhali..
View attachment 1805776
AhahahahahahUkiweka hiyo UP AUTO basi wewe dereva unauchapa kabisa na usingizi,ukija kuamka unakuta Gari imesha kufikisha uendako.
Kluger mkuu