Naomba Nijuzwe kama ni kweli kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi

Binafi nakutana nao wengi sana Maeneo ya Ununio na saivi hata nikienda Malls haswa Mlimani City nakutana nao wengi sana sasa sijui ni watalii au ndio wamehamia maana idadi yao kama siyo ya kawaida.
Wapo wengi mno na wengi wana you tube channel juzi nilikuwa na angalia kijana only 19 years old kahama Jumla na wala issue si corona .kule hawako Happy ajili ya ubaguzi
 
Nimesikia kuna Wamarekani weusi wanahamia TZ kwa wingi kwa sababu wanakimbia kuchanjwa kinga ya corona.

Pia sababu nyingine ni kuipenda TZ kwa sababu ya JPM walivyokuwa wanamhusudu.

Niliona kuna mmarekan dar anasema walikua wanavutiwa na sera ya magufuli ndo maana wakaja tz
 
Hakuna watu wapumbav Kama black Americans .. naoongea with experience na Kama unabisha tafuta tour guides au wale vijana wa Zanzibar watakupa stories zao.


Bora ufanye kazi na Mzungu kuliko black Americans

Nani alikufundisha self hate


Who thought africans self hate
 
Waje tu ila serikali ijipange zaidi kuwavuna utaalam na ujuzi walionao kusaidia kupunguza ujinga uliopo nchini. Yale maeneo ambayo serekali imeshindwa kupeleka waalimu waende wakajitolee kufundisha, michezo, sanaa n.k. Wasiishie tu mijini 'kula bata'
 
Na itapendeza zaidi wakija kwa wingi wakiwa na mitaji, waje wawekeze watuajiri weusi wenzao huku tukipata 'exposure' ili tupate maendeleo ya kweli kama waafrika kiujumla. Tusiwe wachoyo/wabinafsi, tuwakaribishe vizuri na tuwaeleze ukweli kwamba tupo nyuma sana na tupaswa kupiga hatua Kama ngozi nyeusi tuheshimike duniani.
Hawa wahindi, waarabu na wa-asia wengine hawatujengi kabisa wanatunyonya tu na kutudharau sana.

Welcome African Americans, come join forces with us to create Black Power
 
Uhamiaji wanalifahamu hili? Je, hivi ndivyo sheria zetu za uhamiaji zinavyosema? Nitakuwa Wa mwisho kuamini haya.
Wanafata utaratibu, wana'apply for residential permit' wanakodi mjengo maisha yanaendelea, kumiliki ardhi ni mpaka wapate uraia wa Tanzania na njia rahisi kwao ni kuoa ama kuolewa na raia wa Tanzania.
Hatuwezi kuwakataa ndugu zetu wa damu na nasaba waliochukuliwa kama watumwa, waka'survive' mateso huko ughaibuni na sasa wameamua kurudi wenyewe, tutapata laana tukiwakataa!
Waje watuletee mazuri ya walipotoka ila yale mabaya wayaache hukohuko. Mwana mpotevu aliporudi nyumbani alifanyiwa karamu, japo ndugu yake alinuna ila haikubadili kitu.
Ni aibu jiji la weusi linaendesha na watu wa asili ya asia, alafu tuwakatae mablack wenye uwezo kufanya hivyo na zaidi.
 
Mfano mzuri ISRAEL
watu waliamua kurudi 'nyumbani', waishi kwa raha mustarehe na wajivunie kuwa na 'kwao'. Wanazidi kurudi kila siku na makazi mapya yanaendelea kujengwa, wamejizatiti! Nadhani shughuli yao mnaiona, gusa ufe!
Tuwaige wayahudi, tujenge jamii imara tuweze kujitegemea.
 
Ulalamishi unasaidia kutoka kwenye umasikini. Wewe uko hapa bongo hulalamiki lakini upo kwenye tatizo moja miaka nenda rudi
kisa tunachangia kwenye free platform usidhani tunafanana, fyi niko vizuri sana hapa sihitaji kwenda popote labda kutalii na kurudi.

Badili hilo jina lankwanza halikufai.
 
Wapo wengi mno na wengi wana you tube channel juzi nilikuwa na angalia kijana only 19 years old kahama Jumla na wala issue si corona .kule hawako Happy ajili ya ubaguzi
Wengi ni YouTubers wanaosafiri na walijaa sana bongo kwasababu ni nchi ambayo haikuwa na LOCKDOWN kwahiyo hakukuwa na option ya kwenda zaidi ya kuja bongo.
 
Wengi ni YouTubers wanaosafiri na walijaa sana bongo kwasababu ni nchi ambayo haikuwa na LOCKDOWN kwahiyo hakukuwa na option ya kwenda zaidi ya kuja bongo.
Baada ya kuchoka kukaa ndani iliwabidi watoke kuja kutalii na nchi ambazo hazikuwa na lockdown ni Ghana na Tanzania ambazo mazingira yake ni rafiki
 
Hakuna watu wapumbav Kama black Americans .. naoongea with experience na Kama unabisha tafuta tour guides au wale vijana wa Zanzibar watakupa stories zao.


Bora ufanye kazi na Mzungu kuliko black Americans
Fafanua
 
Waje tujenge Asili yetu kwa nguvu zote.
Na ingefaa sana our captain JPM angalikua hai

In fact yeye ndie alie onesha uelekeo na kuusimamia na kuwashawishi hao black Americans kwa namna frani.
Binafsi mi nawashangaa hao black american kuiacha nchi km marekani kuja kuishi kwenye shithole country km Tanzania! ,Ambapo kuna kila aina ya mambo ya hovyo km vile uchafu, ujenzi holela, hakuna ajira vibaka kila kona na mwisho viongozi wa hovyo. ....anyway labda kuna masaibu makubwa wamekutana nayo mpaka kukubali kuishi kwenye mazingira km haya.
 
Back
Top Bottom