Naomba nieleweshwe gharama za kufanyiwa auditing ya TRA ktk kampun

JABALI LA KARNE

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,978
2,000
Wasiliana na makampuni ya audit yapo mengi.
Certified auditors public practise.
Pata recommenditons kutoka kwa taasisi ambazo zimeshawahi kuwa audited.
Gharama hutofautiana kulingana na financial data zako na scope of work.
 

Jesuitdon

JF-Expert Member
Dec 18, 2018
3,212
2,000
Habari,ninataka nifanyiwe mahesabu ya kampuni yangu naomba nijue gharama zake.

Nawasilisha
Screenshot_20210924-165706.jpg


Nakuona fighter
 
Mar 6, 2021
29
75
Below is the Full list of Auditing firms in Tanzania.

Ashvin Solanki & Company

AUDITAX International

Baker Tilly Dgp & Co.

BDO East Africa

Claritas International

Cooperative Audit and Supervision Corporation (COASCO)

Deloitte & Touche

Ernst & Young

KMC Associates

Globe Accountancy Services

INNOVEX Auditors

KPMG

MEKONSULT

MHASIBU CONSULTANTS

NEXIA SJ Tanzania

PRICEWATERHOUSECO OPERS

RSM Eastern Africa

TAC Associates

TANNA SREEKUMAR & CO

TRION & CO

WISCON Associates

TMC Associates

KLSA Associates

›Google mojawapo kati ya hayo utapata contact details then utajua huduma na gharama zao.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom