Naomba nielekezwe namna ya kuhariri (Edit) document iliyo katika mfumo wa PDF

Clark boots

JF-Expert Member
Jun 5, 2017
6,401
5,525
Habari wanaJF,

Nauliza jamani, kama document ipo in form of PDF naweza kufanya editing?

Watalaam nisaidieni kijana wenu hapa
 
Habari wanaJF,

Nauliza jamani, kama document ipo in form of PDF naweza kufanya editing?

Watalaam nisaidieni kijana wenu hapa
Unaweza jaribu kifungua kwa MS Word (nadhani kwanza 2018 Edition kuendelea) ina support ku convert pdf to word.
Right click hyo document, chagua open with then chagua MS word. Itakuuliza kma unataka kui convert kwenda word. Select yes then itaprocess na kukupa word document
 
Naona mambo yamekaa ki-professinal zaidi alafu sina experience na hv vitu ila shida ni ndo imenitupia kwenye hii miangaiko.
Hebu nijaribu kupambana, accordance to maelekezo yenu
 
Habari wanaJF,

Nauliza jamani, kama document ipo in form of PDF naweza kufanya editing?

Watalaam nisaidieni kijana wenu hapa
Kuna Pdf za namna mbili
1. Pdf ambayo ipo kwenye mfumo wa picha, hii mpaka uwe na ocr software ndio utaweza kuisoma na kuiedit kwa mfumo wa kawaida wa maneno

2. Pdf ya Kawaida ya maneno tumia tu program za Kawaida ku edit kama Microsoft word au Adobe acrobat.

Hivyo anza na kuweka Adobe acrobat kisha jaribu kui edit uone, ikikataa cursor kukaa katikati ya maneno inamaana ni picha hio inakuja kazi ngumu ya Ocr.
 
Hii Adobe acrobat ni App..?
 
Back
Top Bottom