Naomba nafasi ya kujitolea Mimi ni clinical officer🙏

Goti la samaki

Senior Member
Jan 3, 2018
142
225
Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021

Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏
Nipo shinyanga

Mawasiliano 0746532392
 
Dogo GSM

Member
Jul 31, 2021
65
125
Duh kweli hali ngumu,,enzi zetu miaka ya 2010 kushuka chini ukisema tujitolee katika taasisi,kampuni au ofisi yako kwa malipo ya malazi na chakula humpati mtu.
 
Mawembasa1979

JF-Expert Member
Feb 26, 2015
1,313
2,000
Natanguliza shukrani za dhati kwa wanajukwaa Mimi ni mhitimu wa clinical medicine mwaka 2021

Naomba nafasi ya kujitolea kwenye dispensary au kituo Cha afya popote inchini kikubwa tu nipate Malazi na chakula🙏
Nipo shinyanga

Mawasiliano 0746532392
Ni wakati sasa Watanzania tufikirishe akili zetu zaidi. Hii human resource muhimu sana ipo ina hang tu. Naumia sana moyoni.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom