Naomba nafasi ya kufanya internship au kazi

Mtu ni watu

Member
Mar 27, 2018
42
38
Naomba nafasi ya kujitolea au kazi katika kampuni za vyakula na vinywaji nimesoma degree of food science and technology
-Nina uzoefu wa kufanya kazi za maabara kutokana na kufanya majaribio ya vitendo katika sehemu hio pia kutokana na elimu niliyonayo naweza kufanya kazi zingine zinazoendana na food science and technology

Tafadhali naombeni mnisaidie,

Asanteni.
 
Ni-pm. Sina kazi ya kukupa ila na mimi nimesoma kozi hiyo hiyo pengine tunaweza shauriana.
General Mangi na wengineo msaada wenu please....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom