Naomba nafasi ya kazi udereva

kayewa Jr

New Member
Sep 10, 2016
2
20
Mimi ni kijana Nina miaka 22 naomba nafasi y udereva sehemu yoyote.. Nahitaji uzoefu.... Nina leseni class E
 

ruhi

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
2,398
2,000
Mimi ni kijana Nina miaka 22 naomba nafasi y udereva sehemu yoyote.. Nahitaji uzoefu.... Nina leseni class E
DRIVERS - 8 POSITIONS
Qualifications: Holder of “O” level Secondary Education Certificate,with
class C driving license and Motor Vehicle Mechanics at least three years
experience
Apply: Chief Executive
Occupational Safety and Health Authority (OSHA)
Box 519, Dar es Salaam
Details: Daily News Dec 16, 2016
Deadline: December 30, 2016
 

kuduman201036

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
3,974
2,000
>>> UKO NCHI GANI WW wenzako wako MTWARA HUKO ''dangote '' kama una CV nzuri NENDA hakuna RUSHWA huko>> wanahitajika Madereva 600
 

24hrs

JF-Expert Member
Dec 8, 2016
2,599
2,000
udereva sasa nawao kama walimu wa arts...... nafikiri ifike mahali waajiri wenye degree mana wanaozeana mtaani ili kupunguza kulalama nit inawahusu....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom