Naomba nafasi ya ajira au volunteer (Mwalimu)

JOESKY

JF-Expert Member
Mar 25, 2015
816
2,032
Habari za mwaka mpya ndugu zangu wana JF? Ni imani yangu mko salama salimini.

Nisiwachoshe sana!!

Lengo langu naomba msaada wa kupata nafasi ya kazi ya ualimu niko Mbeya Mjini ni na shahada ya elimu BAEd. Pia niko tayari hata kuvolunteer ili nipate experience ya kutosha.

Najua humu kuna watu wa kila aina wamiliki wa shule hadi wakuu wa vitengo kwenye shule binafsi naombeni sana wadau msaada wenu ni very crucial.

Naomba kwa yeyote aliye tayari kuwasiliana nami ani PM kwa mawasiliano zaidi.
 
Back
Top Bottom