Naomba na mimi kesho viongozi wa CHADEMA wanisindikize kwenda kuchukua fomu ya kugombea urais

lizon

Senior Member
Jul 29, 2015
126
89
Ndugu wanachadema wenzangu jana tulishuhudia Kamanda mwenzetu Edward Lowasa akienda kuchukua fomu ya kugombea uraisi kupitia chama chetu huku akisindikizwa na viongozi wakuu wa chama.

kama ilivyo demokrasia,haki na wajibu wa kila raia..

kesho naenda kuchukua fomu ya kugombea uraisi kupitia chama changu cha chadema.Hivyo ninaomba viongozi wakuu wa chama wanisindikize katka safari yangu hiyo kama walivyofanya kwa mheshimiwa lowasa.my aim is to transform Tanzania to the next level..Asanteni sana
 
Niko hapa mtaa wa saba naulizia ofisi za chadema nataka nikachukue kadi ya uanachama kesho nikachukue form za urais, nimechoshwa na mizengwe ya ccm, chama gani kikongwe hivyo, kimebaki chenyewe tu madarakani na kile cha korea ya kaskazini, hima jitokezeni kesho mniunge mkono, aliondoka mjerumani aliyetujengea reli ya kati sembuse ccm.
 
Kadi utapewa, fomu hawakupi wali print moja na kesapewa fisadi, hashindaniswi
 
Niko hapa mtaa wa saba naulizia ofisi za chadema nataka nikachukue kadi ya uanachama kesho nikachukue form za urais, nimechoshwa na mizengwe ya ccm, chama gani kikongwe hivyo, kimebaki chenyewe tu madarakani na kile cha korea ya kaskazini, hima jitokezeni kesho mniunge mkono, aliondoka mjerumani aliyetujengea reli ya kati sembuse ccm.
Wenzako Ocampor four, MUSSALAN, lakisipesa na wengine wameshabwaga manyanga umebaki wewe.
 
Unamjua Mbowe wewe...Slaa mwenyewe amekataliwa asichukue fomu kwa madai ya kwamba atakigawa chama....Nahisi unataka kupewe 'one way ticket ya kwenda kuzimu'
 
Niko hapa mtaa wa saba naulizia ofisi za chadema nataka nikachukue kadi ya uanachama kesho nikachukue form za urais, nimechoshwa na mizengwe ya ccm, chama gani kikongwe hivyo, kimebaki chenyewe tu madarakani na kile cha korea ya kaskazini, hima jitokezeni kesho mniunge mkono, aliondoka mjerumani aliyetujengea reli ya kati sembuse ccm.

Una hela za kukodi wasindikizaji? Vipi umetenga shilingi ngapi kwa kila msindikizaji? Una shilingi ngapi za kuwapa watoa fomu pale ofisi ya CHADEMA akina Mbowe,Tundu Lissu nk.za kuwapa waridhike kuwa kiwango ulichowapa kinawaridhisha ili wakupe fomu? Unazo hela za kutosha kuwapa waandishi wa habari na wahariri ili wawaruhusu waandishi wao na wapiga picha kuja kwenye tukio lako lofa wewe la kuchukua fomu?
 
Naona mav yanagonga vyup hapo lumumba, kachukue tu fom mkuu mbona red brigade wapo watakusindikiza usihofu.
 
Una hela za kukodi wasindikizaji? Vipi umetenga shilingi ngapi kwa kila msindikizaji? Una shilingi ngapi za kuwapa watoa fomu pale ofisi ya CHADEMA akina Mbowe,Tundu Lissu nk.za kuwapa waridhike kuwa kiwango ulichowapa kinawaridhisha ili wakupe fomu? Unazo hela za kutosha kuwapa waandishi wa habari na wahariri ili wawaruhusu waandishi wao na wapiga picha kuja kwenye tukio lako lofa wewe la kuchukua fomu?
 
Niko hapa mtaa wa saba naulizia ofisi za chadema nataka nikachukue kadi ya uanachama kesho nikachukue form za urais, nimechoshwa na mizengwe ya ccm, chama gani kikongwe hivyo, kimebaki chenyewe tu madarakani na kile cha korea ya kaskazini, hima jitokezeni kesho mniunge mkono, aliondoka mjerumani aliyetujengea reli ya kati sembuse ccm.

Kuna kundi limeibuka ghafla wakijifanya kuwa na uchungu sana na CHADEMA kumbe ni wanafiki, moyoni wako CCM. Wakati Magufuli anatangazwa kundi hilo hilo liliibuka na kuwashauri CHADEMA wakomae na ubunge. Ujio wa Lowassa umeonyesha rangi za baadhi ya watu. Sasa ni kama wamechanganyikiwa na kujifanya washauri wa CHADEMA.

Mimi nilikuwa mmoja wa watu niliyempinga Lowassa na kumuita mwizi wakati wa mchakato wa kura za maoni CCM ili asipitishwe sababu kubwa niliona upepo wake ulikumba hata wasiokuwemo. Nilijua wakimpitisha tu wapenda mageuzi tumekwisha kwani upepo wake ungepiga hadi kwenye majimbo ya upinzani, na badala ya kuongezeka yangepungua. Kuna wabunge wengi wa CCM walitegemea sana upepo wa Lowassa uwapitie. Sasa hivi wamechanganyikiwa wanaomba bora wangejitoa CCM mapema kabla kura za maoni CHADEMA hazijafanyika.

Ndugu zangu upepo wa wanasiasa ni mbaya sana kuna wabunge CHADEMA upepo wa Dr.Slaa uliwapitia hadi leo hawaamini kama wapo mjengoni. Lowassa upepo wake ni mbaya sana. Dr.Slaa angemsumbua Dr.Magufuli lakini asingemshinda. Vile vile kwenye UKAWA ujio wa Lowassa umeleta mshikamano zaidi. Ninaamini kuna wana CUF na NCCR wasingeweza kumpigia kura Dr.Slaa zaidi ya wabunge wao. Lakini Lowassa ni kama amekuja kuwaunganisha UKAWA. Zitabebwa kura nyingi sana hapa.

Hawo wasiomtaka Lowassa ni wale waliotaka wapinzani wawe wapinzani milele. Ndio wale utawaskia Urais CCM, Ubunge upinzani. Huo ni unafiki mkubwa. Tunahitaji CCM itoke kabisa. Sasa ujio wa Lowassa ni kama umewachanganya sana wamebaki kujifanya wanakishauri chama kumbe wanafki wakubwa. Lengo kuu la chama ni kushika dola kama kuna upenyo umetokea wa kukupeleka huko utumie ipasavyo. Muda ndio huu ukipita CCM itatawala milele.
 
Back
Top Bottom