Mayor Slum
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 750
- 1,121
Naomba mnisaidie sehemu au mwongozo wa written interview Kada ya supplies officer II hii ndio mara ya kwanzq kuitwa kwenye interview .Naomba mniambie mambo ya kusoma .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok nini sasa?
Ulitoboa mkuu..?Nashukuru Mungu nimepata kazi kupitia utumishi
Mara ya kwanza na ukatoboa hongera sanaNashukuru Mungu nimepata kazi kupitia utumishi
Tarehe 19 mwezi wa saba MkuuLini zimetoka placements zenu..?
Nimetoboa MkuuUlitoboa mkuu..?
Nilifanya ya written mara ya kwanza nikadundaMara ya kwanza na ukatoboa hongera sana
Hongera sana wakati wa mungu ndiyo wakati sahihiNilifanya ya written mara ya kwanza nikadunda
Nikaja nakaenda ingine week inayofauta nikapita written nikafanya oral ndio nikatoboa niko ofisini kwa sasa
Mungu ni mwema sana
Asante sanaHongera sana wakati wa mungu ndiyo wakati sahihi
Nafasi zilikuwa ngapi na hadi oral mlingia wangapiAsante sana
Kweli Mkuu
Nàfasi ilikuwa moja tu database ndio imetubeba Oral tumeingia kama 23 hiviNafasi zilikuwa ngapi na hadi oral mlingia wangapi
Palikuwa na swali la research?Nilifanya ya written mara ya kwanza nikadunda
Nikaja nakaenda ingine week inayofauta nikapita written nikafanya oral ndio nikatoboa niko ofisini kwa sasa
Mungu ni mwema sana
Hapana hakukuwa na swali la researchPalikuwa na swali la research?
Hongera sana, hukupata moungozo ila ukatoboa. Sasa inabidi utoe muongozo kwa uzoefu ulioupata kwa wengine wenye kuhitajiNashukuru Mungu nimepata kazi kupitia utumishi