Naomba mwongozo wa receiver ya Bein Sports.

Jembebutu

Member
Feb 14, 2017
39
125
Dstv imekuwa kichaa sana kwa sasa. Nasikia kuna receiver ya uarabuni inaitwa BEIN SPORTS iko pouwa sana. Please mwenye uelewa juu ya hili atuhabarishe tafadhali. Upatikanaji wake, coverage, packages, price na vinginevyo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom